Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
hii combo balaa
Dada karibu usukumani utufundishe kupika maana maakuli yako si mchezo ....barikiwa sana
Hakuna cha ziada😃Dada karibu usukumani utufundishe kupika maana maakuli yako si mchezo ....barikiwa sana
Nimeona niongeze appetite kwa kuweka na yaihii combo balaa
Ukija mwanza utacheka ngoma hiyo unakuta inamchuzi wa kutoshaHakuna cha ziada
Nimekata mboga carrots na vitunguu pamoja then nikazikaanga kidogo tu.
Wali neweka carrots na hoho.


Ukija mwanza utacheka ngoma hiyo unakuta inamchuzi wa kutosha![]()

Ugali na supuSupu na chapati zilipendwaView attachment 2438991
hii kaliCha mzazi hiki