HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,945
- 102,705
Kenya ndo hupenda zege za hivi
Kenya ndo hupenda zege za hivi
Hapo sawaKwa ushauri wa daktarView attachment 2441509
Kuku mtamuUnapenda kuku
Mchemsho mtamuNapenda sana michemsho aiseee....
Hapo Mzee unakula na kushiba??![]()
Hapo Mzee unakula na kushiba??![]()
Sawa bhnaTunakula kiafya sio kujaza tumbo.
Siwezi kula wali bila chai,juice au soda.
Karbuuu