duh! Asante kwa taarifa.Hahahah ndio maana kiko huku
Hapa inabidi ugali tuongezee yaani mboga zimetulia
Asante mkuuKaribuni chai na mhogo wa kuchemshaView attachment 2402658
hiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Ndiyohiyo chumvi hapo ya kuweka kwenye juice au??
Aisee huo mchanganyiko ni noma, ningeanza na kukuYeah zipe kubwa damu ya mzee

Tamuu

Baadae nitakulipa hii ila ugali hautakuwepoLeo naomba ku share a work of my hands. Karibuni snaView attachment 2429327