glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,825
- 4,638
Weka na ugali ndo Ina noga aisee

Weka na ugali ndo Ina noga aisee

Mbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko 🤣🤣🤣🤣🤣
We nyau hiyo nilikula mimiMbona andunje wetu show itamahinda anakulaje tambi na mayai....sio kujambiana huko![]()
alafu nalala peke yangu ebu niache huko.Ah ok....kumbe unajua kupika pika. Hongera ila punguza winginwa chakula🤣🤣🤣🤣We nyau hiyo nilikula mimialafu nalala peke yangu ebu niache huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi cake unauza au unapokea oda?
Hiyo keki kama kitumbua namuuzia nani?Hizi cake unauza au unapokea oda?

Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo🤣🤣🤣🤣
Ah ok....kumbe unajua kupika pika. Hongera ila punguza winginwa chakula![]()
mimi napenda kula bwana kupunguza nimeshindwa.Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo![]()
mimi nikipika kambale huwa natoa vichwa labda kama kuna wageni. Ila wa kwangu kichwa natoa kinatisha.Dah we acha tu ndugu yangu asubih nilipenda sana kwenda Kupata supu ya sato pale kamanga ferry rast garden Nouma sanaNIMEPAMISI MWANZA KULE UNAKULA VITU NATURAL TOKA ZIWANI
![]()
Huyo samaki mbona ana sura mbaya hivyo![]()


Sii waniuzia mie mzabzab....nipikie mieHiyo keki kama kitumbua namuuzia nani?
Najifunza za kula nyumbani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uje uchukue bureSii waniuzia mie mzabzab....nipikie mie
Sawa ukishabake uniambie nikuje
Hiki ni kitu gani?