Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kesho nipike
Nina zaidi ya mwezi sijakula zege
Kesho nipike
Unamshauri mwenzako ajiweke kwenye tahadhari ya kupata kitambi 😅😅
Tomato supendi
Kwa mwezi mara moja sio mbaya
Tomato huwa naweka kidogo tu.
Yaani hata nifululize zege sijui kwanini huwa sipati kitambi.Unamshauri mwenzako ajiweke kwenye tahadhari ya kupata kitambi![]()
Mafuta yanabaki mwilini kwa ndani,kwahyo moyo utajaa mafuta 😅Yaani hata nifululize zege sijui kwanini huwa sipati kitambi.