Njoo pmKununua boss
@YoungJigger
Kiasi gani?!nina uhitaji wa pasheni (passion) matunda nipo Dodoma
Nahitaji mashudu ya alizeti. Mwenye kuweza kuniunganisia karibu inbox
Kiasi gani?!
swali: unapatikana mkoa gani?Natafuta Mota used horsepower 20-25kwa ajili ya kusaga nafaka, mwenye connection please
swali: unapatikana mkoa gani?
Mi natafuta wauzaji wa mahindi wanaotoa mkoani kuleta Dar
Umeshaianza hiiii biashara Mimi naish bagamoyoBiashara ya samaki wabichi, kununua kutoka kwa wavuvi (hasa bagamoyo) kwa mfumo wa ndoo na kupeleka sokoni au.kwenye maduka makubwa ya samaki.
Nataka niifanye hii kwa ukubwa.
Naomba mwenye uzoefu kwa hapa Dar anijulishe.
DM iko wazi.