Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Je! Unatafta Photographer?

Tunatoa punguzo kwa wafanya biashara tuna shoot bidhaa zako kwa picha quality ili uweze kuuza bidhaa zenye mwonekano halisi na mzuri.
Bila kusahau ofa ya punguzo ya 20% kwa Wedding, Birthday, Sendoff, Portrait na Fashion.
Yuh__studio
we make Marvelous
Check now
Follow this link to view our catalogue on WhatsApp: Näytä yrityksen Director katalogi WhatsAppissa
 
PATA HUDUMA ZA USAFI MAOFISINI, MAJUMBANI, VIWANDANI, KATIKA APPARTMENT, HOTELINI, KUANDAA GARDENI ZA KISASA, KUPULIZIA DAWA ZA KUFUKUZA WADUDU WARUKAO NA WATAMBAAO(FUMIGATION), PIA TUNAHUDUMA YA KUHAMISHA(SHUTTLE SERVICE).

0782 - 490928

TUNAPATIKANA MWANZA.
KARIBU TUKUHUDUMIE
Logo_Maker_com.ist.logomaker_Sat_Oct_02_23_00_00_GMT_03_00_2021.jpg
 
Natafuta Mota used horsepower 20-25kwa ajili ya kusaga nafaka, mwenye connection please
 
Biashara ya samaki wabichi, kununua kutoka kwa wavuvi (hasa bagamoyo) kwa mfumo wa ndoo na kupeleka sokoni au.kwenye maduka makubwa ya samaki.
Nataka niifanye hii kwa ukubwa.

Naomba mwenye uzoefu kwa hapa Dar anijulishe.

DM iko wazi.
Umeshaianza hiiii biashara Mimi naish bagamoyo
 
IMG-20211101-WA0029.jpg

Wakuu zimebaki kilo 600 tu....Mchele super kutoka kyela mbeya haujavunjika vunjika na unanukia vizuri saana, nisaidieni ku-push huo mzigo nakuletea popote ulipo ndani ya dar (free delivery)...
1800 per kilo anaechukua nyingi maongezi yapo.....text me tsup au normal 0757590836
 
Kumekuchaaaa dili changamkia fursa uza mchele upate pesa cha kufanya ni hivi tangaza mchele wetu ukileta mteja wa kiroba cha kg 50 unapata 2000 na kg 25 unapata buku unasubiri nini sasa muda ni huu uza zaidi upate pesa zaidi

0744883353 moshi Kilimanjaro
 
Kwa wanaoitaj huduma ya CCtv camera usisite kunipigia kwenye namba
0686520133

Bei ni ya naelewano kabisa

Pia tembelea link hii kwa kukutana na mafundi Mbali Mbali

 
Back
Top Bottom