The Machine114
Member
- Jan 1, 2020
- 78
- 89
Itapendeza na mm nikizipata
Nimeisave tutaongea vemaCheki hapoView attachment 1573842
Asante kwa info ngoja niwacheki jamaa japo wanakuaga wagumu kukupa machimbo yao maana nimeshajaribu baadhi ya sehemu nikakwama . Nipo DarKuna sehemu hapa Ubungo Maji karibu na kanisa la Gwajima, huwa naona wameweka, jaribu ucheki huenda zinauzwa, ama watakusaidia kujua zinakouzwa. Ila hujasema unaulizia uko wapi?
Uko wapi?Kuna mtu anayekopesha bidhaa mfano viatu mtu akitembeza anamlipa pesa
Language?natafuta connection ya uandishi wa makala za mitandaoni ama za hard copy, mada yoyote, au kuandikia website za masuala mbalimbali, 0718829826. kwa kizungu naita Content Writing.
KilimanjaroUko wapi ?
Ungekuwa, very easy!Kilimanjaro
SijaelewaUngekuwa, very easy!
Vipodozi kama lotion, makeup ? Inbox Kwa jumla mkuu
NicheckMwenye connection na biashara za china hasa SPARE ZA PIKIPIKI. Bei zake, usafiri, kodi n.k Kwa container ya ft 20 na conteiner ya ft 40
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unahitaji kiasi ganihabri wakuu, nilikuwa naulizia anayejua kwa sasa mbaazi zinapatikana wapi kwa wingi na bei yake ikoje?
Hizo zinauzwa ghali 45k - 50k Mimi nahitaji toka viwandani ambapo bei ni 20k -25k. Hizi huwa zinaletea malighafi hasa kemikali kwa baadhi ya viwanda ila sijajua hasa ni viwanda gani.
Bei ya Mbaazi unapatikana wapi?Anayehitaji Soya au Mbaazi anicheki 0687535650
Mimi nipo Dar mkuu Nina meza Gongo la mboto....nahitaji hyo fursaUko wapi ?
Habari wana Jf Nina portable toilets /mobile toilets kwa ajili ya matumizi yote ya outdoor. Kwenye misiba, matamasha, shughuli za ujezi na kadhalika.
Kampuni ni mpya nahitaji kupigwa tafu kupata wateja jamani
Namba ya simu ni 0768 333 953
Barua pepe ni muhogomchungu.kr@gmail.com
Kwa Msaada au support yoyote tutashukuru sana.
Bei ni kuanzia Tshs 150,000 kwa siku. View attachment 1542649View attachment 1542650
Unaweza kuzipeleka hizi toilets kwenye masoko chief,,unaomba eneo kwenye uongozi wa soko. Masoko mengi makubwa hayana vyoo vya kutosha,hata stendi pia kama mbezi, ubungo.Karibuni sana jamani, bado sapoti yenu. Inahitajika sana.