Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Hamo Tea Production. Chai Safi Na yenye radha nzuri kwa kuchanganya viungo mbali mbali kama Karafuu, Hiliki, Mdalasini, Tangawizi na mchai Chai.
Reja Reja tsh 500
Jumla jumla Tsh 400

Tupo Kigamboni - Dar es salaam, Tanzania

Hamoteaproduction@gmail.com
Kigamboni, Dar es salaam.
0747627026 /0624085373 /0783588605
20200805_062226.jpg
 
Mashuka safii na mazuri ya Mtumba kutoka UK. 100% cotton Size7×8 Wakazi wa dar es salaam unaletewa kwa sh elfu mbili .

Mashuka mawili na Foronya nne tsh 50,000
Shuka moja foronya mbili ni tsh 25,000

Mikoani unatumia kwa gharama ya tsh elfu tano tu.
Namba zetu ni +255655266249 hii inapatikana whatsApp
na kawaida ni hii +255672601301 karibuni.
IMG-20200807-WA0001.jpg
IMG-20200807-WA0002.jpg
IMG-20200807-WA0003.jpg
IMG-20200807-WA0015.jpg
IMG-20200807-WA0026.jpg
IMG-20200807-WA0013.jpg
IMG-20200807-WA0025.jpg
IMG-20200807-WA0007.jpg
IMG-20200807-WA0024.jpg
IMG-20200807-WA0021.jpg
IMG-20200807-WA0018.jpg
IMG-20200807-WA0009.jpg
IMG-20200807-WA0016.jpg
IMG-20200807-WA0019.jpg
IMG-20200807-WA0008.jpg
 

Attachments

  • IMG-20200807-WA0020.jpg
    IMG-20200807-WA0020.jpg
    127 KB · Views: 13
  • IMG-20200807-WA0021.jpg
    IMG-20200807-WA0021.jpg
    132.1 KB · Views: 12
  • IMG-20200807-WA0002.jpg
    IMG-20200807-WA0002.jpg
    138.4 KB · Views: 12
natafuta wanunuzi was jumla na rejareja was pilipili(sauce)
ya embe na ya ukwaju
inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na wenye biashara ya chakula
zinatumika kurowekea nyama na pia Julia chakula (dipping)
ni kionjo matata sana hasa kwa wauza chips
inapatikana kwa chupa ya Lita moja
nusu Lita na robo Lita.
karibuni sana
Tunafanyaje kuhusu hizi mambo

Nifanyie mpango unitumie basi
 
AFRICAN BOYI, Kyenshaija
1.Nimepata vifaa vya ufundi ikiwemo cherehani,uashi,userermara,uchomaji ,umeme,viatu,maji nk.vipo bandarini dsm vinahitaji malipo kuvitoa ili kufungua mradi wa karakana na mafunzo kwa vitendo(youth) .Nahitaji washirika kuendesha mradi huu.mradi ni endelevu na utaendelea kupokea vifaa na misaada mingine.inahitajika milioni 9 tu kulipia na usafiri .kama kunamdau ajitokeze piga

2.Mradi wa usindikaji mafuta ya kula ya alizeti ,karanga,soya na ufuta pamoja na usambazaji mbegu kwa wakulima,upo tayari unahitaji pia washirika au mawazo jinsi ya kupata mitaji ya uendeshaji.

3.Mradi wa ufugaji kuku na utotoaji mayai.Kuku ni wa kienyeji.Mradi upo katika hatua ya kwanza unahitaji washirika pamoja na ushauri na upatikanaji mitaji Karibu tuongee au leta namba ya mdau piga +255763031988/+255784891188/+255623225404
 
Back
Top Bottom