Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.

Sent from iPhone 6s Plus
 
Huwa naona wanayunga kwenye mabox na kusafirisha kwenye mabasi ya dar. Karibia kila siku mtu huyo anasafirisha. Nadhani ni elfu kumi kwa box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2020-04-24 PHP Tryit Editor v1 1(1).png
 
Back
Top Bottom