Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 1,053
- 2,590
Wakuu mimi naomba kujua gharama za usafirishaji wa dagaa wa kukaanga na wakavu kutoka mwanza mpaka dar, natamani nifanye biashara hii ila upande wa usafiri bado sijajua, vipi kwa basi inawezekana kusafirisha? Kwa yeyote anaefanya hii biashara naomba ufafanuzi juu ya usafiri. Thanks in advance.
Sent from iPhone 6s Plus
Sent from iPhone 6s Plus