Rumi96
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 785
- 1,836
Mkuu dagaa wa Kigoma ni wa ziwa Tanganyika, Sumbawanga hapa wapo wengi wamekaushwa kwa jua. Bei ina range, 8000, 9000, na 10k kwa kilo kwenye stoo.Mliopo kigoma naomba kujua upatikanaji wa dagaa wa kigoma na migebuka upoje na bei imesimama vipi kwa sasa, pia upatikanaji wa leseni ya kusafirisha dagaa to Dar.