Au na sisi tuanzishe tuje tuwasimulie?Mliofanikiwa leteni mrejesho basi,ili tupate matumaini pia
Au na sisi tuanzishe tuje tuwasimulie?Mliofanikiwa leteni mrejesho basi,ili tupate matumaini pia
Imefanyaje tena etiiih?Avatar hiyo mkuu
Indeed my friend I watch cities rise and fallDuuu ulikuepo tokea enzi za alexander the great,alfred the great..
Nao,be kupestana mm nahitaji mke wa pili CV yangunkama yakoUmri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
Hakika kama vipi tufanye kweli😛Au na sisi tuanzishe tuje tuwasimulie?
ITOSHE KUSEMA...imeeeishaa hiyo Kama wewe umesema Mimi Ni Nani nipinge??Hakika kama vipi tufanye kweli
Mzigo upi tena bibie, nyama au?We ni handsome? Una mzigo wa maana hapo kati?
Hiyo 'black fulani hivi' ikoje mkuu au ni aina mpya ya rangi ?Jina:Miminimama.
Umri:30.
LocationSM
Dinientecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
AiseeHapa ni mwili unakuwa umekukubali halafu umekukutaa
Hahaaaa, haya babe wangu mpya tena wasitufokee😀ITOSHE KUSEMA...imeeeishaa hiyo Kama wewe umesema Mimi Ni Nani nipinge??
Nyama tena??, anamaanisha pesa za kutosha huyoMzigo upi tena bibie, nyama au?
kabisaaa wasubiri story baada ya mwakaHahaaaa, haya babe wangu mpya tena wasitufokee
Mzigo wa kufanyia kazi kwenye sita kwa sita..m***oMzigo upi tena bibie, nyama au?
umesomekaMzigo wa kufanyia kazi kwenye sita kwa sita..m***o
Baada ya mwaka tunakuja na mapacha kama matunda ya huu uzi😀😀kabisaaa wasubiri story baada ya mwaka
Upo wa kutosha na chenji inabakiMzigo wa kufanyia kazi kwenye sita kwa sita..m***o