Mtoa Mada hii Ni hela nyingi Sana
Yaani hapo mguu mmoja tu ukaamua uvitoe vidole vyako vyote si chini ya shilingi milioni 100 ,hela iyo ni zaidi ya Penseni ya mwanajeshi tena hapo kashatumikia nchi si chini ya miaka 30,
 
Yaani hapo mguu mmoja tu ukaamua uvitoe vidole vyako vyote si chini ya shilingi milioni 100 ,hela iyo ni zaidi ya Penseni ya mwanajeshi tena hapo kashatumikia nchi si chini ya miaka 30,
Vyote hapana utateseka, viwili tu vinatosha
 
Uzi una picha.

Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.

Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.

Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.

Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote. View attachment 2248380View attachment 2248381
wanalazimishwa au hiari yao?
 
Kwa nilivosikia, ntasahihishwa kama nakosea. Kuna duka la biashara hiyo, japo no biashara haramu. Na wanaonunua sio wazungu, bali ni waafrica kama sisi ambao ni waganga wa kienyeji. Hao ndo wateja wa vidole. Though hapo hapo inasemekana ni uzushi na utani kuhusu hii biashara. Hao jamaa kwenye hilo duka ndo wamesema walipost online kama utani lakini ikashika kasi twitter.
Ushahidi zaidi unahitajika
 
Back
Top Bottom