Mweh..umaskini tu. Naondoka jamani msinichambe. Kwaheri dada
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wauaji wakubwa nyieMweh..umaskini tu. Naondoka jamani msinichambe. Kwaheri dada
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
List ndefu...Mungu atatulipia😒
Sasa Matusi ya nini!? Au hupati ile fimbo ya Musa vizur ndiyo maana unakua na hasira kila wakati!?Viva Chadema...kuna mapanya buku yalishajuaga Upinzani umekufa watakufa mama zao kwanza na mabosi zao wote shenzi type
Nasikitika sikuweza kuchangia.
Hakuna kikomoHivi baada ya hukumu kutoka,unapewa mda gani kuweza kupata huyo hela?
Sawaa, hebu tusubiriList ndefu...Mungu atatulipia
Kuumbee ndio maaanaa..Kapesa kadogo tu hako jamani hadi msumbue watu kuchanga? Mbowe na lema wangemaliza fasta
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Walitaka aingie ndaniInategemea na hujuma unayopangiwa kufanyiwa , wakina Mbowe walipewa masaa mengi ila Akaunti zao za benki zilifungwa kwa maelekezo ya serikali , yericko alipewa masaa matatu tu , lakini wadau wamechanga zaidi ya mil 6 ndani ya dk 60 tu !
Viva Chadema...kuna mapanya buku yalishajuaga Upinzani umekufa watakufa mama zao kwanza na mabosi zao wote shenzi type
Jamani Vyuma vimeingia kutuAnafundisha mbinu za kijasusi kumbe account ina zero aaah he is not a real hero
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Acount inafungwaAnafundisha mbinu za kijasusi kumbe account ina zero aaah he is not a real hero
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ndo maana nini bro?Kuumbee ndio maaanaa..
miongoni mwa wale wana covid 19 tuliwachangia, wakaachiwa mwisho wake wakatusaliti
Kutokana na mataga kuonea cdm nashauri chama kianzishe mfuko maalumu wa kuchangia uwe endelevu. Watu watupie humo vijisenti kidogo kidogo ili ikifika kamanda yeyote kahukumiwa iwe ni kuchota tu.