Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Athari za utumwa hakuna jamii ambayo iliachwa na ata sasa bado ziko jamii ni watumwa wa fikra.Wazungu walifanya jamii nyingine watumwa kwa namna yao na warabu hali kadhalika ndo maana hadi leo athari zake zinaonekana.kwaiyo picha zako chache ulizoweka haiondoi ukweli kua jamii flan haikufanya matukio yakitumwa kwa waafrika.nakumbuka sio mambo yote mabaya yaliweza kurekodiwa kwa picha ila tunayapata kwenye vitabu mbalimbali.Ila jambo lakusikitisha nikuona hizi jamii nyingine baada ya hizo zama kupita walibadilisha akili zao nakuanza kuwekeza kwaajili ya maisha mapya na akili mpya kwa ajili ya vizazi vyao ila jamii yakiafrika yenyewe bado iko utumwani kifikra tena uku tukitumikishana wenyewe kwa wenyewe uku tukigeuka vibaraka wa hizo jamii zilizotutawala.
Angekuwa mwarabu ndio kafanya hii biashara ya utumwa peke yake sidhani kama ungeongea hivi. Ingekuwa ni matusi na kashfa mtindo mmoja. Ila kwa kuwa imedhihiri kuwa katika hiyo biashara ya utumwa mzungu ndiye ali play big role mmeanza kupooza mada. Wala hamtazigusa imani zao....[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Kutokana na ushabiki wa kidini watu wanaona sawa tu...... Uarabuni ni jangwa tupu... Watumwa waende Uarabuni kufanya nn wakati huo. Waarabu wamepata pesa baada ya kugunduliwa mafuta ambapo wakati huo utumwa ushapigwa marufuku. Biashara ya watumwa Hakuna iliemuacha. Machifu wa kiafrika walivamia makabila dhaifu na kuwateka. Waarabu waliwanunua na kuwauza kwa wafaransa amba
Matumuzi ya watumwa uarabuni yalikua najumbani na shughuli za kila siku by the way huwezi kuwatenga waarabu na utumwa unless uiondoe zanzibar na bagamoyo tabora duniani sababu hayo ndio maeneo yanayoishuhudia uhusika wa waarabu kwenye utumwa.
 
Tusjipendekeze kwa yeyote yule,huyu mdau Hemed bin mohamed ambae kwa ukweli ni mwenzetu (kama picha inavyojionyesha)alikuwa ni kinara wa biashara ya binaadamu.
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.
cb3a8ed899d9b5fcb13345f0d355ee03.jpg
 
Kwa taarifa tu ni kwamba mtu wa kwanza kupinga biashara ya utumwa ni Mtume Muhammad s.a.w.
 
Alipinga karne ya saba. Ina maana karne za kabla yake na dini za kabla ndio zilitukuza biashara ya utumwa. Ngoja nianzeckumwaga vitu. Maana hii mada ingekuwa haina ushahidi uislam mpaka saa hizi ungekuwa umeshatykanwa matusi gunia linajaa...
 
Hujanierewa mkuu. uislamu unakataza utumwaa. Sasa hao waarabu wameingiaje kwenye utumwa na kuwahasi ilihali uislamu unakataza. Wazungu ni wa2 wabaya mno.
uislamu unaupigia chapuo utumwa soma Quran vizuri uone namna utumwa ulivyopewa promotion

Quran
Quran (33:50) - "O Prophet! We have made lawful to thee thy wives to whom thou hast paid their dowers; and those (slaves) whom thy right hand possesses out of the prisoners of war whom Allah has assigned to thee" This is one of several personal-sounding verses "from Allah" narrated by Muhammad - in this case allowing a virtually unlimited supply of sex partners. Other Muslims are restricted to four wives, but they may also have sex with any number of slaves, following the example of their prophet.
Quran (23:5-6) - "..who abstain from sex, except with those joined to them in the marriage bond, or (the captives) whom their right hands possess..." This verse permits the slave-owner to have sex with his slaves. See also Quran (70:29-30). The Quran is a small book, so if Allah used valuable space to repeat the same point four times, sex slavery must be very important to him. He was relatively reticent on matters of human compassion and love.

Quran (4:24) - "And all married women (are forbidden unto you) save those (captives) whom your right hands possess." Even sex with married slaves is permissible.

Quran (8:69) - "But (now) enjoy what ye took in war, lawful and good" A reference to war booty, of which slaves were a part. The Muslim slave master may enjoy his "catch" because (according to verse 71) "Allah gave you mastery over them."

Quran (24:32) - "And marry those among you who are single and those who are fit among your male slaves and your female slaves..." Breeding slaves based on fitness.

Quran (2:178) - "O ye who believe! Retaliation is prescribed for you in the matter of the murdered; the freeman for the freeman, and the slave for the slave, and the female for the female." The message of this verse, which prescribes the rules of retaliation for murder, is that all humans are not created equal. The human value of a slave is less than that of a free person (and a woman's worth is also distinguished from that of a man).

Quran (16:75) - "Allah sets forth the Parable (of two men: one) a slave under the dominion of another; He has no power of any sort; and (the other) a man on whom We have bestowed goodly favours from Ourselves, and he spends thereof (freely), privately and publicly: are the two equal? (By no means praise be to Allah.'Yet another confirmation that the slave is is not equal to the master. In this case, it is plain that the slave owes his status to Allah's will. (According to16:71, the owner should be careful about insulting Allah by bestowing Allah's gifts on slaves - those whom the god of Islam has not favored).
 
Arabs and Europeans wote walishiriki fullstop.
 
Tuonyeshe picha za waarabu jinsi walivyofanya biashara ya utumwa ya kiwango kidogo kwa wahenga wetu!
 
Usitufanye sisi ni wajinga na hakujui kuchambua mambo kama watu wazima!awe mzungu au mwarabu....wote walitenda vitendo vya kikatili sana kwa wahenga wetu!ni upuuzi kudai kwamba waarab walifanya biashara ya utumwa kwa kiwango kidogo?!hicho kiwango kidogo umekipimaje?vigezo gani umetumia? Ushahidi upo japo mnajifanya kuuficha uovu wa waarab me kigezo cha dini ya mwarabu!mwafrika kama wewe ni hatari!huwezi ficha uovu wa waarab kwa watu weusi!laiti miembe iliyoko ujiji...tabora unyanyembe.....ukune....bagamoyo...nk pamoja na majumba makubwa walimoifadhiwa watumwa kule pangani,bagamoyo....Zanzibar yangeweza kuzungumza!ungeikana dini ya mwarabu!
 
Hakuna utumwa mbaya kama kumlazimisha mtumwa afanye matendo ya kishoga!Mbaya zaidi waarabu walileta ushoga!angalia sehemu walizoishi ushoga &ubasha ni jambo la kwaida sana!
 
Mkuu.Isis,boko haram na makundi mengine hayapo kwenye uislamu. Uislamu haufundishi ivo mkuu. Ivo ni vikundi tu vilivyotengenezwa na wamarekani wenyewe kwenda kuchafua nchi za wa2. Samahani mkuu kama nimekuudh
mtu anayeongeaga hivi namuonaga ni taahira yaani mtu aje akupe silaha akuambie kamuue ndugu yako na wewe unaenda kutekeleza tena kwa kutumia maneno ya dini yako utakua na akili timamu??

Na vipi saivi wanavyou kila siku huko ulaya kwa wafadhili wao??

Nyie ni watu wa ajabu sana isis, alqaida, alshabab, bokoharam wakiua kwenye nchi zao mnasema ni vikundi vimeundwa na wamarekani kuxhafua amani lakini watu hao hao wakiua ulaya mnawasifia na kuwaunga mkono!!!! Nyie watu Mungu awasaidie sana
 
uislamu unaupigia chapuo utumwa soma Quran vizuri uone namna utumwa ulivyopewa promotion

Quran
Quran (33:50) - "O Prophet! We have made lawful to thee thy wives to whom thou hast paid their dowers; and those (slaves) whom thy right hand possesses out of the prisoners of war whom Allah has assigned to thee" This is one of several personal-sounding verses "from Allah" narrated by Muhammad - in this case allowing a virtually unlimited supply of sex partners. Other Muslims are restricted to four wives, but they may also have sex with any number of slaves, following the example of their prophet.
Quran (23:5-6) - "..who abstain from sex, except with those joined to them in the marriage bond, or (the captives) whom their right hands possess..." This verse permits the slave-owner to have sex with his slaves. See also Quran (70:29-30). The Quran is a small book, so if Allah used valuable space to repeat the same point four times, sex slavery must be very important to him. He was relatively reticent on matters of human compassion and love.

Quran (4:24) - "And all married women (are forbidden unto you) save those (captives) whom your right hands possess." Even sex with married slaves is permissible.

Quran (8:69) - "But (now) enjoy what ye took in war, lawful and good" A reference to war booty, of which slaves were a part. The Muslim slave master may enjoy his "catch" because (according to verse 71) "Allah gave you mastery over them."

Quran (24:32) - "And marry those among you who are single and those who are fit among your male slaves and your female slaves..." Breeding slaves based on fitness.

Quran (2:178) - "O ye who believe! Retaliation is prescribed for you in the matter of the murdered; the freeman for the freeman, and the slave for the slave, and the female for the female." The message of this verse, which prescribes the rules of retaliation for murder, is that all humans are not created equal. The human value of a slave is less than that of a free person (and a woman's worth is also distinguished from that of a man).

Quran (16:75) - "Allah sets forth the Parable (of two men: one) a slave under the dominion of another; He has no power of any sort; and (the other) a man on whom We have bestowed goodly favours from Ourselves, and he spends thereof (freely), privately and publicly: are the two equal? (By no means praise be to Allah.'Yet another confirmation that the slave is is not equal to the master. In this case, it is plain that the slave owes his status to Allah's will. (According to16:71, the owner should be careful about insulting Allah by bestowing Allah's gifts on slaves - those whom the god of Islam has not favored).
Ulikosa Quran ya kiswahili mpaka utuletew ya lugha za kitumwa? Au kuna kitu unataka kutudanganya tusiojua lugha ya kizungu?
 
Usitufanye sisi ni wajinga na hakujui kuchambua mambo kama watu wazima!awe mzungu au mwarabu....wote walitenda vitendo vya kikatili sana kwa wahenga wetu!ni upuuzi kudai kwamba waarab walifanya biashara ya utumwa kwa kiwango kidogo?!hicho kiwango kidogo umekipimaje?vigezo gani umetumia? Ushahidi upo japo mnajifanya kuuficha uovu wa waarab me kigezo cha dini ya mwarabu!mwafrika kama wewe ni hatari!huwezi ficha uovu wa waarab kwa watu weusi!laiti miembe iliyoko ujiji...tabora unyanyembe.....ukune....bagamoyo...nk pamoja na majumba makubwa walimoifadhiwa watumwa kule pangani,bagamoyo....Zanzibar yangeweza kuzungumza!ungeikana dini ya mwarabu!
Ungeokana na dini ya mzungu pia...
 
mtu anayeongeaga hivi namuonaga ni taahira yaani mtu aje akupe silaha akuambie kamuue ndugu yako na wewe unaenda kutekeleza tena kwa kutumia maneno ya dini yako utakua na akili timamu??

Na vipi saivi wanavyou kila siku huko ulaya kwa wafadhili wao??

Nyie ni watu wa ajabu sana isis, alqaida, alshabab, bokoharam wakiua kwenye nchi zao mnasema ni vikundi vimeundwa na wamarekani kuxhafua amani lakini watu hao hao wakiua ulaya mnawasifia na kuwaunga mkono!!!! Nyie watu Mungu awasaidie sana
Ushoga uko England and America.
 
America, England, German etc wanamiliki silaha za nyuklia. Na wanamuliki makundi ya kigaidi hayo uliyoyataja.
 
Back
Top Bottom