Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,226
- 30,461
Ila babu zetu nao walikua wanazingua sana ni picha kama hizi huwa zinafanya nitilie Shaka uwezo wa akili wa mtu mweusi. Hapo kuna picha mizungu imebebwa na weusi wengi walishindwa kuwabwaga chini na kuwaua kweli! Unakuta mzungu mmoja au wawili wanaenda kwenye kijiji na kutawala kijiji kizima na weusi bado wakakubali. Mzungu mmoja anatembea huku amezingirwa na weusi kibao kama walinzi na makuli wake bila ya kumfanya kitu huyo mzungu au kumuua kabisa. Smh