Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Wewe ukiwa muislamu inatosha ila sipo hap kubishana na wewe ila kuongea ukweli wa hii hali. Hatujapewa maagizo ya kuua watu waliopo kwenye ibada zao iwe kanisani au kwenye masinagogi yao lakini jihadi za siku hizi hata kujitetea unashindwa jinsi wanavyofanya hao waarabu kwa kisingizio cha uislamu. Dunia sio sehemu ya amani tena kisa wao tu mkuu.
Mkuu.Isis,boko haram na makundi mengine hayapo kwenye uislamu. Uislamu haufundishi ivo mkuu. Ivo ni vikundi tu vilivyotengenezwa na wamarekani wenyewe kwenda kuchafua nchi za wa2. Samahani mkuu kama nimekuudh