Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Hii ngozi nyeuc bwana shida 2pu yani.sijui 2melaaniwa na nani tu.yani ni kulalama tu kila day.jamani!!!!

Waarabu na wazungu wanapiga kazi katika nchi zao,wanaporomosha majengo co muchezo.

Wabongo 2mekalia kulalama na wivu umetujaa na kujiona ha2na thamani yoyote kwa m2 mweupe. Tunakazi kushinda vijiweni 2 siku imeisha. Hii ndiyo kazi 2riyonayo

Ni ngumu mno kuenderea kwa stahili hii. Hebu 2jilekebishe aise.

Waarabu hawakutesa babu ze2.mwenye picha aweke hapo sio tunaongea tu bila facts yoyote.
 
Myths-slavery.jpg

Ukiona m2 kavaa nguo jeupe na midevu unajua ni mwalabu ee? Jiongeze mkuu.
 
Afu kuna mpuuzi mmoja anaomba eti bongo bahati mbaya manina[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom