magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,822
- 33,689
Mkuu nina mashaka na elimu yako. Una uhakika historia ya shule ya mdingi haijagusia ubaya wa mzungu kwenye biashara ya utumwa?Sikumaanisha ulivyofikiri. Katika maekezo mengi tunayopata juu ya utumwa haujapata kugusiwa japo kwa uchache ubaya wa wazungu. Huwa wanatajwa waarabu tu. Hata historia ya shule ya msingi kuhusu utumwa haimgusi mzungu. Ndio hoja yangu iko hapo.