Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
Tukumbuke pia kuwa ni miongoni mwa hao hao wazungu walijitokeza wakapambana kuiua biashara ya utumwa ,haikuwa rahisi kwao kupambana na wenzao wenyewe, pia wapo wazungu wema tu , NAMAANISHA WEMA USIO WA KINAFIKI, ambao wametufanyia mambo mazuri tu , na sisi wenyewe waafrika kama tumepata uhuru lakini wenzetu wenyewe wanatuuza tena kwa mara nyingine je na hawa wenzwtu ni wazungu ama!
Basi yatupasa. Kujua kuwa kila taifa watu wabaya na watu wema wapo ila wanapotawala wabaya basi ubaya ndio itaonekana ni sifa ya taifa zima!
 
Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
Daaaah japo umetumia lugha Kali ambayo imenigusa moja kwa moja mm kauli mbiu yangu MTU akimpinga mzungu NAPIGANA naye.
Wahindi na waarabu wao hawakutaka kabisa watumwa wazaliane au wazae na wao hivyo WALIWAHASI WATUMWA WAO.
Wazungu walituibia wakati wanatutawala hili halipingiki lkn huku wanaiba na kuziendeleza nchi zetu na kujenga mashule bora.
Haya wameondoka tumebaki S's wenyewe mambo ni hovyo kabisa viongozi wetu wanachota fedha zilizokusanywa wanakwenda kutumbua Ulaya.wanafungua akaunti huko fedha zetu zinanufaisha Ulaya.viongozi wetu wanaingia mikataba mibovu na ulaya kwa maslahi yao binafsi viwanda alivyoacha mzungu vyote vimekufa.
Mashule bora aliyoacha yote yamechakaa hakuna ukarabati Yale tuliojenga wenyewe ni ya hadhi ya chini.Treni toka Dar/Mwanza/Kigoma nilikuwa kila siku iendayo kwa Mungu Leo mmmmh reli ya Tanga mmmmh.
Mashamba ya Katanga Nachingwea Leo mmh.
Wazungu wabaya na wezi lkn S's zaidi tunajiibia na kuwapelekea wazungu. Leo hii NENDA miji waliojaa waswahili nchini Afrika kusini na Miji waliojaa wazungu kama cape town uone tofauti ya Mzungu mwizi na msawahili anayejiibia
 
Anamalizia kwa kusema ujinga wa waislamu weusi kukataa kuwa waarabu walitutesa
Waarabu na wazungu wote walitutesa. Huyo ni mpuuzi mwengine tu anaongea. Mzungu na muarabu wote wametutesa na wanaendelea kututesa
 
Daaaah japo umetumia lugha Kali ambayo imenigusa moja kwa moja mm kauli mbiu yangu MTU akimpinga mzungu NAPIGANA naye.
Wahindi na waarabu wao hawakutaka kabisa watumwa wazaliane au wazae na wao hivyo WALIWAHASI WATUMWA WAO.
Wazungu walituibia wakati wanatutawala hili halipingiki lkn huku wanaiba na kuziendeleza nchi zetu na kujenga mashule bora.
Haya wameondoka tumebaki S's wenyewe mambo ni hovyo kabisa viongozi wetu wanachota fedha zilizokusanywa wanakwenda kutumbua Ulaya.wanafungua akaunti huko fedha zetu zinanufaisha Ulaya.viongozi wetu wanaingia mikataba mibovu na ulaya kwa maslahi yao binafsi viwanda alivyoacha mzungu vyote vimekufa.
Mashule bora aliyoacha yote yamechakaa hakuna ukarabati Yale tuliojenga wenyewe ni ya hadhi ya chini.Treni toka Dar/Mwanza/Kigoma nilikuwa kila siku iendayo kwa Mungu Leo mmmmh reli ya Tanga mmmmh.
Mashamba ya Katanga Nachingwea Leo mmh.
Wazungu wabaya na wezi lkn S's zaidi tunajiibia na kuwapelekea wazungu. Leo hii NENDA miji waliojaa waswahili nchini Afrika kusini na Miji waliojaa wazungu kama cape town uone tofauti ya Mzungu mwizi na msawahili anayejiibia
Hivi na huko Capetown pia kuna waswahili
 
HV kwa nn wazungu, Waarabu na wahindi wanapenda michezo ta kuchimbana nnya? Unapata raha gani kusikia harufu ya mavey toka kwa mwenzio.
 
Utumwa ni mfumo wa kimaisha, ulishapitiwa karibu na jamii zote duniani. Kabla ya kupata race tofauti, yenyewe ilikuwa inawatumwa ndani. Namanisha, kabla ya kupata race nyingine, wazungu walitumikishana utumwa wao wenyewe. Wakorea, wachina, waarabu, wahindi wote walifanyana watumwa wao kwa wao.

Walipopata race nyingine, wakaifanya hiyo kuwa ndio ya kitumwa nao ni ma noble. Fuatilia movie za Kikorea, utajifunza mengi ya kihistoria.
 
Na bado wanatushughulikia ila kwavile sisi ni wagumu kuelewa subiri miaka 30 ijayo wataandika yanayoendelea sasa ilikuwa utumwa wa hali ya juu. Kwamba software zinatengenezwa US halafu sisi ni lazima tuzitumie katika mifumo yetu ya kodi na mahospitalini? huu utumwa, hatujitambui. Ukiwagusa watakuambia acha ushamba tutatumiaje software za matumbi wenzetu?
 
Picha zinanitia hasira..hawa watu walifanya unyama aisee
 
Samahani mkuu hivi ujaskia blacks amercan wakiuawa na polisi wazungu kisa rangi tu?
Nimesikia ila jaribu kufatilia hayo mambo vizuri., huko Marekani muhalifu wa kizungu akiuawa sawa tu ila mhalifu mweusi akiuawa tayari watu wanaingiza mambo ya ubaguzi wa rangi., ila nakubali hata wazungu sio watu wazuri sana kwetu watu weusi.. nimejaribu kufanya comparison nikaona Arabs are worse., we hua husikii wanavyowafanya ndugu zetu wanaowafanyia kazi huko kwao?
 
Utumwa ni mfumo wa kimaisha, ulishapitiwa karibu na jamii zote duniani. Kabla ya kupata race tofauti, yenyewe ilikuwa inawatumwa ndani. Namanisha, kabla ya kupata race nyingine, wazungu walitumikishana utumwa wao wenyewe. Wakorea, wachina, waarabu, wahindi wote walifanyana watumwa wao kwa wao.

Walipopata race nyingine, wakaifanya hiyo kuwa ndio ya kitumwa nao ni ma noble. Fuatilia movie za Kikorea, utajifunza mengi ya kihistoria.
You are a very good historian., hadi Africa kulikua na elements za utumwa, watu wengi wanaconsider sana utumwa unaofanywa na race against race hasa white race against black race
 
Nimesikia ila jaribu kufatilia hayo mambo vizuri., huko Marekani muhalifu wa kizungu akiuawa sawa tu ila mhalifu mweusi akiuawa tayari watu wanaingiza mambo ya ubaguzi wa rangi., ila nakubali hata wazungu sio watu wazuri sana kwetu watu weusi.. nimejaribu kufanya comparison nikaona Arabs are worse., we hua husikii wanavyowafanya ndugu zetu wanaowafanyia kazi huko kwao?
Ukifika ukiwa muislam Ulaya kwa kupigana au attack wewe mi mhalifu terro
 
Na wazungu wanakua treated vipi nchi za kiarabu? wewe hua husikii hawa wanaochukuliwa mateka na kuchinjwa huku hawana hatia wakiwa ni wanahabari au wafanyakazi wa kujitolea? mi nafikiri kinachotokea Ulaya ni njia nzuri tu ya kujihami and its not true kua kila muislamu huko anakua suspected ni gaidi., Uingereza kuna Mayor muislamu katika moja ya miji mikubwa tu
 
Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
mfano hai ni yule dada yenu aliyekimbilia ughaibun naye akawa na roho kama za hao weupe
 
Ila babu zetu nao walikua wanazingua sana ni picha kama hizi huwa zinafanya nitilie Shaka uwezo wa akili wa mtu mweusi. Hapo kuna picha mizungu imebebwa na weusi wengi walishindwa kuwabwaga chini na kuwaua kweli! Unakuta mzungu mmoja au wawili wanaenda kwenye kijiji na kutawala kijiji kizima na weusi bado wakakubali. Mzungu mmoja anatembea huku amezingirwa na weusi kibao kama walinzi na makuli wake bila ya kumfanya kitu huyo mzungu au kumuua kabisa. Smh
Nafuu babu zetu walitawaliwa na kufanywa watumwa baada ya kuzidiwa nguvu. Sasa hivi sisi tunatawaliwa na kunyonywa, kunyanyaswa baada ya kuwa brainwashed pamoja na kujiita kwamba tupo huru!
 
Aiseh wahenga walijua kutaabika[emoji58][emoji58][emoji58]
IMG-20170516-WA0002.jpg
poleni wahenga.
 
Back
Top Bottom