Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Mababu zetu wa kiafrika walikua washamba sana, haiwezekani mnafungwa minyororo alafu mnaongozana kana mbwa tu....Mimi siwalaumu wazungu, Ila nawalaumu mababu kwa upuuzi walokua wanaufanya
 
Usiangalie utumwa kwa miwani ya Dini. Binadamu sio bidhaa muuzaji na mtesaji wote Lao moja. Waarabu waliua na kuhasi wanaume ndiyo maana watu weusi hawapo huko, tunaona hadi leo jinsi weusi wanavyonyanyaswa uarabuni kuliko hata uzunguni.

Nchi kama Argentina weusi ni almost hawapo hata wakusingiziwa umewahi kujiuliza kwanini? Mbona nchi zote za karibu na Argentina Zina weusi maelfu kwa malaki iweje Argentina?

Facts and evidence muhimu sana aise. Ukiniambia Argentina weuc ni wachache ni ngumu kukuerewa. Lete evidence ya uhakika
 
Mababu zetu wa kiafrika walikua wapumbavu sana, haiwezekani mnafungwa minyororo alafu mnaongozana kana mbwa tu....Mimi siwalaumu wazungu, Ila nawalaumu mababu kwa upuuzi walokua wanaufanya
kweli kabisa utakubalije?
 
My dada unapoongea unaleta na evidence ka ni kweli walihasiwa. Kwanza uislamu unakataza hivi vi2. Iweje wakiuke??????
Hii kitu hata nikipingwa ukweli upo na ushahidi nitaweka
 
Hii kitu hata nikipingwa ukweli upo na ushahidi nitaweka
ndyo bhana waarabu ndy.wabaya hata dada yao kutuachia awataki ata msibani hawaendi mm namlaumu nyerere kuwatimua waingereza kuwaacha waarabu hata mpira hawachez,shule hawataki
 
Hujanierewa mkuu. uislamu unakataza utumwaa. Sasa hao waarabu wameingiaje kwenye utumwa na kuwahasi ilihali uislamu unakataza. Wazungu ni wa2 wabaya mno.
mzungu din gan? je din gan inaruhusu utumwa? ww umleta udini ata ukiangalia REASONS OF ABOLITION OF SLAVE TRADE sababu za maandiko ya dini ili changia mada mwarabu syo uislam
 
Daah hizi picha zinasisimua na kutia hasira. Jamaa walikuwa na roho mbaya hawa.
Dah!! Mkuu hawa jamaa wamewaonea sana babu zetu wangese sana . Yaani inatia uchungu sana jitu linakunywa kahawa limemkanyaga binadamu mwenzie kama vile ni tambaa la deki. Walistahiki watulipe fidia ya utu wetu Afrika nzima .
 
Wewe ni muislam? Ubaya wa utumwa ni mateso tu kuuza sio kubaya? Muuazaji na mtesaji wote Lao moja binadamu sio bidhaa. Waarabu walikua wakiua na kuhasi wanaume ndiyo maana kizazi cha watu weusi kikapotea mashariki ya Kati jiongeze.
Mkuu hata mimi ni muislam ila waarabu na hao wazungu wote mat..ako yao tu maana wametutesea sana wazee wetu waliotuanishia kizazi chetu Africa.

Hizi shida zote wameleta wao hao wageni kwenye nchi yetu wenyewe sasa hivi tungekuwa tunaishi kwa amani kubwa tu ila kwa muingiliano wao na kutuletea hizi dini zao ndio maana watu hawaachi kuuana kila kukicha kwa visingizio vya kwenda peponi wangese kabisa hawa watu.
 
Mkuu wewe co muislamu.nauhakika kwa %100. Ka ni muislamu wa kweli ucngethubutu kusema ivi

"Hizi shida zote wameleta wao hao wageni kwenye nchi yetu wenyewe sasa hivi tungekuwa tunaishi kwa amani kubwa tu ila kwa muingiliano wao na kutuletea hizi dini zao ndio maana watu hawaachi kuuana kila kukicha kwa visingizio vya kwenda peponi wangese kabisa hawa watu"
 
Wewe ukiwa muislamu inatosha ila sipo hap kubishana na wewe ila kuongea ukweli wa hii hali. Hatujapewa maagizo ya kuua watu waliopo kwenye ibada zao iwe kanisani au kwenye masinagogi yao lakini jihadi za siku hizi hata kujitetea unashindwa jinsi wanavyofanya hao waarabu kwa kisingizio cha uislamu. Dunia sio sehemu ya amani tena kisa wao tu mkuu.
 
Cha kushangaza pamoja na unyanyasaji wote huo tumeshindwa kupata akili na zaidi ya hapo hatupendani tunaumizana mubashara.
 
Mkuu wewe co muislamu.nauhakika kwa %100. Ka ni muislamu wa kweli ucngethubutu kusema ivi

"Hizi shida zote wameleta wao hao wageni kwenye nchi yetu wenyewe sasa hivi tungekuwa tunaishi kwa amani kubwa tu ila kwa muingiliano wao na kutuletea hizi dini zao ndio maana watu hawaachi kuuana kila kukicha kwa visingizio vya kwenda peponi wangese kabisa hawa watu"
Naona unatetea waarabu kwa nguvu zote kisa Dini. Hakuna Dini inayoruhusu utumwa ila wote walioleta hizo Dini wazungu na waarabu ndiyo walioleta utumwa actually walitumia dini kuleta utumwa. Kumstrip mtu tamaduni yake na kumfanya afuate yako kwa nguvu huo tu ni utumwa wa aina yake let alone ule wa kuteka, kusafirisha, kunyanyasa na kuua.

Kama wewe sio muarabu na upo hapa kutetea waarabu kwa nguvu zote utakua ni mpuuumbavu wa kiwango cha lami. Natilia mashaka elimu yako sijui kama umefika secondary sababu hii ni history ya form2 na kwa uandishi wako Ndo kabisa inaonyesha kichwani umejaa kamasi.
 
Back
Top Bottom