Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Kwa Asilimia kubwa Whites nDio wali play part kubwaaa sana ktk Biashara hii, Maana ht mikataba ya ukomeshwaji wa biashara hii ilikua Campaigned na Whites kutokana na Gharama za uzalishaji wa Bidhaa ktk viwanDa kuwa nDogo kwa Baadhi ya mataifa mf Ufaransa ambao nguvu kazi kubwa ilikua ni Slaves, ila Uingereza iliona Itaingia Hasara zaidi kwakua walikua washaanza matumizi ya mashine ktk viwanDa na hivyo ikahofia kupigwa Bao ktk soko la Dunia kwakua Ufaransa ingenufaika zaiDi ktk uuzaji kwa kuuza kwa Bei rahisi zaidi kuliko UK...
So In short Utumwa umefanyika mpk kipinDi ambacho hawa wtu walipoona Inatosha, Pengine Isingekua maendeleo ya sayansi na teknolojia Bsi utumwa ungeenDelea kwa miaka mingi zaiDI Mpk hata karne ya 20 Mwishoni au hata zaiDilI
Nachukia sana biashara hii lakini nikilinganisha muarabu na mzungu bora mzungu sababu pia ndio aliyemkomesha muarabu kuendelea baada ya industrial revolution sababu warabu ni mabongolala tu kama waafrika bado walikua wanaendelea na biashara hii sababu ya uduni wa technology.
 
mtu anayeongeaga hivi namuonaga ni taahira yaani mtu aje akupe silaha akuambie kamuue ndugu yako na wewe unaenda kutekeleza tena kwa kutumia maneno ya dini yako utakua na akili timamu??
Cheza brainwashing tactics weye,ukiingia jeshini tu utayajua.
 
America, England, German etc wanamiliki silaha za nyuklia. Na wanamuliki makundi ya kigaidi hayo uliyoyataja.
Nakuona Mwarabu unawapambania babu zako kwa nguvu zote....!

Unataka ata kufuta historia ya Watu waliokupokea.....

M nataka niulize tu ni kwa nini sasa ampendi kuchangamana na jamii ya Watu weusi....?

Ni kwani bora muonane ndugu kuliko kuoa au kuolewa na mtu mweusi....? Na ikitokea mtu akalazimisha basi anatengwa na familia....! Tabia inaonyesha tu ni namna gan mlivyo ila bado navuta picha kama umnayafanya haya leo je babu zenu walifanyaj enzi hizo . ....?

Si Muzungu si Mwarabu wote wale wale.....

Unataka picha? We unajua mwarabu kaja karne ya ngap? Kafanya biashara ya utumwa karne ya ngap? Alikua na technologia ya Camera? Au ww tupe picha tuwaone ao Waarabu wenzio wakifurahi, kunywa na kula pamoja na babu zetu!
 
Kuna picha na muvi ya Yesu ambaye alikuja hata kabla ya utumwa kuanza. Sasa kwa nini tukose picha ya watumwa wakiteswa na mwarabu?
 
Mbwa hawa wamewatesa sana babu zetu manina zao
 
Kuna picha na muvi ya Yesu ambaye alikuja hata kabla ya utumwa kuanza. Sasa kwa nini tukose picha ya watumwa wakiteswa na mwarabu?
Katika maelezo yangu Akuna Sehemu nimemuongelea Yesu wala Mohamed.....!

Nmeuliza vitu vingi hujajibu ata kimoja.. Naona upo unaongelea vitu usivovielewa vizuri...
 
Their most important raids were on the caravan route which ran from Bagamoyo on the coast to Lake Tanganyika. Arabic slave traders often made forays into Hehe territory to attempt to buy slaves from Mkwawa, offering him cloth, pots etc. However he steadfastly refused to enter the slave trade and only traded ivory with the Arabs. As a result, very few Hehe suffered the fate of their northern countrymen, who had been sold or captured for slavery.
 
You can't refuse to sell something that you don't have. Your statement implies that the Hehes own slaves, but they refused to sell them to Arabs.
 
Katika maelezo yangu Akuna Sehemu nimemuongelea Yesu wala Mohamed.....!

Nmeuliza vitu vingi hujajibu ata kimoja.. Naona upo unaongelea vitu usivovielewa vizuri...
Nimekupa mfano kwamba kuna picha na muvi ya Yesu. Kwa nini kusiwepo pocha na muvi za watumwa wanahasiwa?
 
ndyo bhana waarabu ndy.wabaya hata dada yao kutuachia awataki ata msibani hawaendi mm namlaumu nyerere kuwatimua waingereza kuwaacha waarabu hata mpira hawachez,shule hawataki
We unaenda shule na hao waarabu hali zenu za kimaisha sawa?
 
Mkuu hata mimi ni muislam ila waarabu na hao wazungu wote mat..ako yao tu maana wametutesea sana wazee wetu waliotuanishia kizazi chetu Africa.

Hizi shida zote wameleta wao hao wageni kwenye nchi yetu wenyewe sasa hivi tungekuwa tunaishi kwa amani kubwa tu ila kwa muingiliano wao na kutuletea hizi dini zao ndio maana watu hawaachi kuuana kila kukicha kwa visingizio vya kwenda peponi wangese kabisa hawa watu.
Acha lawama zisizo na msingi,hapa bongo hakuna mauji ya kidini(ugaidi) ila bado tunasikia mapolisi kila siku wanakufa ukiacha hao maalbino...sasa unapotupia lawama kwenye dini ili iweje?

Badala ya kuangaika na kutatua matatizo yenu mnatafuta wa kumlaumu na ndiyo maana hadi leo bado mnazungumzia habari za utumwa utafikiri ni peke yenu waafrika tu mlifanywa watumwa.
 
Tunatofautiana kuelewa mkuu .. Ungekuwa unasoma na kuelewa nilichokiandika wala usingekuja kuandika huu uharo wako hapa hata sijui umeniquote kwa sababu zipi.
 
mwarabu hana faida kwanza akiri hana kma anaripua waislam wenzie anaamin kwenda peponi huyo

angaria wanao jilipua ni waarabu wanao chinja hadharan ni waarabu

wanakaa kariakoo.pale ata msibani hawaendi wanaoana ndugu waongeze kizaz hawa wanaakil?

waarabu waliwahas babu zetu.kwa chuki zao.bora mzungu kwang kidgo saiv kabadilika mwarabu ni yule yule
dada zetu anatak.dada zao wanabania hawajielew wali wahas sana bros miaka hiyo ndy maana uarabun tupo waswahil wachache tena.mwarabu ndy chanzo cha matatizo yooote
We mwaafrika una mazuri gani hadi ukae na kuanza kutaja yupi mbaya na yupi mbaya zaidi? halafu unashangaza kabisa et bora mzungu kuliko mwaarabu,we unajua jinsi weusi wenzio huko kwa wazungu wanavyobaguliwa?

Unajua mtu mweusi habaguliwi kwa sababu ya ngozi tu,hebu tizama hadi sasa bado mnajadili habari za utumwa na kuchagua yupi ana roho mbaya zaidi.
 
Mzungu alifanya Hii slave trade ila sio kwa Kiwango cha Ukatili kama Mwarabu, America wapo weusi lakini Nchi za Kiarabu hakuna Blacks sana, Sababu ni kuwa Muarabu alikuwa Katili mno kiasi cha kukuasi ili tu usisimamishe Uume na Kuwapiga DUDU Wanawake zake huko nchi zao ila hayo hayakuwepo America ndio maana unaona rates ya black pale state ni Pana, Mwarabu ni Kiumbe mwenye Roho mbaya sana
Yani mwaarabu aliogopa MTUMWA atatembea na wanawake wao wa kiarabu? hehe yani mwanamke wa kiarabu akalale na mtumwa?

Sijui kama kuna uhalisia tukiangalia hali hali ya sasa tu.
 
Back
Top Bottom