Utumwa ulifanywa na Wazungu

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,011
Ukitaka kujua kuhusu utumwa tembelea mataifa kama America, United Kingdom, Portugal, Italy, France and Germany

Waarabu walifanya biashara ya utumwa lakini kwa silimia ndogo sana, hata ukitembea mataifa yao, watu weusi ni wachache sasa.
IMG-20170607-WA0030.jpg
IMG-20170607-WA0029.jpg
IMG-20170607-WA0028.jpg
IMG-20170607-WA0027.jpg
IMG-20170607-WA0026.jpg
IMG-20170607-WA0025.jpg
IMG-20170607-WA0024.jpg
IMG-20170607-WA0023.jpg
IMG-20170607-WA0022.jpg
IMG-20170607-WA0021.jpg
IMG-20170607-WA0020.jpg
IMG-20170607-WA0019.jpg
IMG-20170607-WA0018.jpg
IMG-20170607-WA0017.jpg
IMG-20170607-WA0016.jpg
IMG-20170607-WA0015.jpg
IMG-20170607-WA0014.jpg
IMG-20170607-WA0013.jpg
 
Siyo kwa asilimia ndogo, tangu lini mfanyabiashara akabaki na bidhaa dukani? Labda imefikia expiry date...
What I know ni kwamba waarabu walikuwa wakiwauza watumwa kwenda kwenye yenye demand za cheap kama plantations(Vitu ambavyo uarabuni havipo)
 
Kama utafuatilia history ya Roma Italia, utajua kwamba utumwa haukuwa kwa watu weusi tu, hata Ulaya nchi kama Poland, Romania na nchi nyengine walikuwa wakipelekwa Italia As a slave na wakiuliwa kama kuku, Ukija Egypt, Jews walikuwa slave mpaka nabii Mussa kaja kuwaondoa na kuuwangusha utawala wa firauni.
 
Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
 
Kama utafuatilia history ya Roma Italia, utajua kwamba utumwa haukuwa kwa watu weusi tu, hata Ulaya nchi kama Poland, Romania na nchi nyengine walikuwa wakipelekwa Italia As a slave na wakiuliwa kama kuku, Ukija Egypt, Jews walikuwa slave mpaka nabii Mussa kaja kuwaondoa na kuuwangusha utawala wa firauni.
Hata wakati wa utumwa America palikuwepo na watumwa wazungu.Waingereza waliwatumikisha wa Irish wengi sana ambao kutokana na wao kutokuweza kufanya kazi kama waafrika, waliishia kuteswa kuliko watu weusi.
 
Hizi picha leo zimewaaibisha watu wanaodhani waliotesa watumwa ni waarabu. Tumeona wazungu ndio vinara wa kutesa na kutumikisha. Mwarabu alibeba bidhaa kisha akawauzia wazungu. Na wazungu wakawatesa na kuwatumikisha watumwa. Na waliobisha au kuleta ujuaji walinyongwa na wazungu na si kunyongwa na waarabu......!!!
 
Wewe ni muislam? Ubaya wa utumwa ni mateso tu kuuza sio kubaya? Muuazaji na mtesaji wote Lao moja binadamu sio bidhaa. Waarabu walikua wakiua na kuhasi wanaume ndiyo maana kizazi cha watu weusi kikapotea mashariki ya Kati jiongeze.
 
Usiangalie utumwa kwa miwani ya Dini. Binadamu sio bidhaa muuzaji na mtesaji wote Lao moja. Waarabu waliua na kuhasi wanaume ndiyo maana watu weusi hawapo huko, tunaona hadi leo jinsi weusi wanavyonyanyaswa uarabuni kuliko hata uzunguni.

Nchi kama Argentina weusi ni almost hawapo hata wakusingiziwa umewahi kujiuliza kwanini? Mbona nchi zote za karibu na Argentina Zina weusi maelfu kwa malaki iweje Argentina?
 
Watumwa waliokwenda Arabuni wanaume walihasiwa ili wasiendeleze uzao ndiyo sababu kubwa ta kutoona weusi wengi wenye asili ya utumwa Arabuni. Marekani watumwa waliachwa wazaliane pamoja na manyanyaso lakini hawakuhasiwa ndiyo maana tunawaona niger mpaka leo
 
Back
Top Bottom