Poor thnkng capacity....the human brain work under a great pressure of problems. Hata wasingekuja through problems inovation would happen. Hata wazungu wanalijua hilo thats y they try Hard to make sure hatujitegemei.Kila kitu unachokitegemea sasa hivi kimetokana na efforts za wazungu katika kufikiri zaidi.
Jiulize hivi haya magari tunayotumia yametoka wapi,viwanda vya nguo,simu,ndege,internet ns mengine mengi.
Kwa namna yoyote ile sisi waafrika hatuwezi kujilinganisha na wazungu hata siku moja.
Ikitokea bahati mbaya ukaumwa Leo halafu ukapelekwa Mhimbili ikashindikana basi hapo ndo utajua kwamba wazungu ni wazungu tu.
Sasa hivi umekaa unaingia JF kutokana na wazungu kutuletea mambo ya internet.
Amini usiamini bila hawa wazungu sisi waafrika tungekua gizani mpaka Leo maana hakuna nchi ya Africa iliyoweza kubuni maswala ya umeme.
Usiangalie utumwa kwa miwani ya Dini. Binadamu sio bidhaa muuzaji na mtesaji wote Lao moja. Waarabu waliua na kuhasi wanaume ndiyo maana watu weusi hawapo huko, tunaona hadi leo jinsi weusi wanavyonyanyaswa uarabuni kuliko hata uzunguni.
Nchi kama Argentina weusi ni almost hawapo hata wakusingiziwa umewahi kujiuliza kwanini? Mbona nchi zote za karibu na Argentina Zina weusi maelfu kwa malaki iweje Argentina?
Mkuu hata Australia wakazi wa asilia walikuwa aboriginals ambao kwa saa hivi wanaishi kama 2nd class citizensArgentina ni taifa pekee katika Amerika ya Kusini lililo na weusi wachache sana. Hawa jamaa ingawa tunawashabikia sana kwenye mpira lakini hawakuwa na huruma kwa mtu mweusi. Hawa walikuwa na sera maalum ya kuondoa weusi katika nchi yao.
Kwa mujibu wa maelezo ya kihistoria, Waafrika wa kwanza kufika katika Argentina katika karne ya 16 mwishoni mwa katika eneo sasa linaitwa Rio de la Plata, ambayo ni pamoja Buenos Aires. Kufikia karne ya 18 na mapema karne ya 19, Waafrika weusi walikuwa wengi katika maeneo ya Argentina, takwimu zinaonyesha waliweza kufikia hadi nusu ya idadi ya watu katika baadhi ya mikoa, ikiwa ni pamoja Santiago del Estero, Catamarca, Salta na Córdoba.
Kama nilivyoeleza hapo mwazo kulikuwa na sera maalum za kutokomeza mtu mweusi. Kwanza walihakikisha katika vita watu weusi wanakuwa mstari wa mbele huku wakiwapatia vifaa duni vya kupigana nahivyo ni wachache sana waliokuwa wanasalimika vitani. Mfano mzuri ni vita ya Argentina na Paraguay ya 1865-1870.
Pia kulikuwa na wanawake wachache sana wenye asili ya kiafrika na ambaowanaolewa na wazungu hivyo wale jamaa zangu weusi wakaona bora kusepa na kwenda Brazil na Uruguay ambako walikuwa kwa kiasi fulani walionyesha ukarimu kwao.
Kama hilo halitoshi mtawala wa Agentina anaeitwa Domingo Faustino Sarmiento (1868 hadi 1874) alianzisha sera ya mauaji ya halaiki kisiri kupitia sera za ukandamizaji sana (ikiwa ni pamoja uwezekano wa kuajiri Waafrika kwa kulazimishwa katika jeshi na kwa kulazimisha weusi kubaki katika vitongoji ambapo kulikuwa na magonjwa mengi na kukosekana kwa huduma za afya za kutosha)
Hii taarifa ni kwa Hisani ya:
Blackout: How Argentina ‘Eliminated’ Africans From Its History And Conscience
Wazungu huwa hawana jema na watu wenye nasaba tofauti na wao.Mkuu hata Australia wakazi wa asilia walikuwa aboriginals ambao kwa saa hivi wanaishi kama 2nd class citizens
Acha watutawale tu, hakuna namna, unakuta wanaume kumi mnaburuzwa na mzungu mmoja ambaye wala hana silaha lakini mko kimya tu, unakuta wanaume wenye akili zao wamembeba mzungu mmoja ambae wala hana silaha kisha mnampleka anapotaka tena mnapita maporini kisha mnamfikisha salama kabisaaa. OK tuyaache hayo ya kale tuje sasa, mzungu anakuja anachimba madini yako kisha anakutumika ananufaika anasema hajapata faida kwa hiyo hawezi kukupa kitu akimaliza anasepa kwao anakuachia mashimo.Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
Naelewa hili Nilitaka huyu bwana wakuitwa Malyenge anayebisha kwamba waarabu hawakuhusika kwenye biashara ya watumwa simply sababu Hakuna weusi siku hizi huko kwao ajiulize pia kuhusu Argentina ndio apate jibu.Argentina ni taifa pekee katika Amerika ya Kusini lililo na weusi wachache sana. Hawa jamaa ingawa tunawashabikia sana kwenye mpira lakini hawakuwa na huruma kwa mtu mweusi. Hawa walikuwa na sera maalum ya kuondoa weusi katika nchi yao.
Kwa mujibu wa maelezo ya kihistoria, Waafrika wa kwanza kufika katika Argentina katika karne ya 16 mwishoni mwa katika eneo sasa linaitwa Rio de la Plata, ambayo ni pamoja Buenos Aires. Kufikia karne ya 18 na mapema karne ya 19, Waafrika weusi walikuwa wengi katika maeneo ya Argentina, takwimu zinaonyesha waliweza kufikia hadi nusu ya idadi ya watu katika baadhi ya mikoa, ikiwa ni pamoja Santiago del Estero, Catamarca, Salta na Córdoba.
Kama nilivyoeleza hapo mwazo kulikuwa na sera maalum za kutokomeza mtu mweusi. Kwanza walihakikisha katika vita watu weusi wanakuwa mstari wa mbele huku wakiwapatia vifaa duni vya kupigana nahivyo ni wachache sana waliokuwa wanasalimika vitani. Mfano mzuri ni vita ya Argentina na Paraguay ya 1865-1870.
Pia kulikuwa na wanawake wachache sana wenye asili ya kiafrika na ambaowanaolewa na wazungu hivyo wale jamaa zangu weusi wakaona bora kusepa na kwenda Brazil na Uruguay ambako walikuwa kwa kiasi fulani walionyesha ukarimu kwao.
Kama hilo halitoshi mtawala wa Agentina anaeitwa Domingo Faustino Sarmiento (1868 hadi 1874) alianzisha sera ya mauaji ya halaiki kisiri kupitia sera za ukandamizaji sana (ikiwa ni pamoja uwezekano wa kuajiri Waafrika kwa kulazimishwa katika jeshi na kwa kulazimisha weusi kubaki katika vitongoji ambapo kulikuwa na magonjwa mengi na kukosekana kwa huduma za afya za kutosha)
Hii taarifa ni kwa Hisani ya:
Blackout: How Argentina ‘Eliminated’ Africans From Its History And Conscience
Nipe Somo Kwann Argentina hamna weusiUsiangalie utumwa kwa miwani ya Dini. Binadamu sio bidhaa muuzaji na mtesaji wote Lao moja. Waarabu waliua na kuhasi wanaume ndiyo maana watu weusi hawapo huko, tunaona hadi leo jinsi weusi wanavyonyanyaswa uarabuni kuliko hata uzunguni.
Nchi kama Argentina weusi ni almost hawapo hata wakusingiziwa umewahi kujiuliza kwanini? Mbona nchi zote za karibu na Argentina Zina weusi maelfu kwa malaki iweje Argentina?
Nadhani mleta uzu hakijui hili. Waarabu waliaasi na kuwaua karibu wote weusi na ndio maana huwaoni todayInatakiwa tutawaliwe tena ili tupate akili za kutosha, waarabu walikuwa wanawahasi na kuwaua waafrika ndiyo maana ni wachache uarabuni
Pamoja Mkuuu shukran KwakoMsome huyu jamaa amechambua vizuri:
Sidhani kama unaelewa unacho kiandikaInatakiwa tutawaliwe tena ili tupate akili za kutosha, waarabu walikuwa wanawahasi na kuwaua waafrika ndiyo maana ni wachache uarabuni
Toa ushahidi... Hatutaki maneno matupuInatakiwa tutawaliwe tena ili tupate akili za kutosha, waarabu walikuwa wanawahasi na kuwaua waafrika ndiyo maana ni wachache uarabuni
Kutokana na ushabiki wa kidini watu wanaona sawa tu...... Uarabuni ni jangwa tupu... Watumwa waende Uarabuni kufanya nn wakati huo. Waarabu wamepata pesa baada ya kugunduliwa mafuta ambapo wakati huo utumwa ushapigwa marufuku. Biashara ya watumwa Hakuna iliemuacha. Machifu wa kiafrika walivamia makabila dhaifu na kuwateka. Waarabu waliwanunua na kuwauza kwa wafaransa ambaDaah hizi picha zinasisimua na kutia hasira. Jamaa walikuwa na roho mbaya hawa.