Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

We jamaa mtanganyika acha ubaguzi au umesahau tuna Muungano?

Hakuna shida kikatiba raia yoyote kufanya kazi popote Tanzania japo wazenji Huwa wanatubagua machogo tukienda kufanya kazi kwao ATI tutawamalizia "mapembe" (wali usio na ladha wa kitumbo). Mi nilienda nikapiga kazi miezi mitatu tu wakanibagua wakaanza kunipigia cm za vitisho na kuniwinda halafu sijui nani na Wala sijachukua demu wao mara Mwenye Nyumba aniambia kodi ikiisha uhame si hatutaki wabara hapa mwanakwerekwe yaani chumba chenyewe alinichukulia Mzenji mwenzao jamaa hawafai kule kwao hukai labda uwe jeshi!

Mi nimekuelewa mkuu shida yako sio uzanzibari Bali dini za kiislamu za wateule!imekuuma sana ila huna la kufanya Mama ndo kaona wanamfaa!! Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu sana!! Hii nchi ni ya mfumo Kristo Mfalme Sasa akiteuliwa mwislam inakuwa kama ajabu sana kumbe haipaswi kuwa hivyo. Sasa ni zamu yetu hadi Bimkubwa Samia atoke miaka mingi ijayo system itakuwa imebalance.

I pray for you Bimkubwa Samia, May Allay show you the right path and have mercy on you inshallah. Amin
 
Wacha ubaguzi hakuna utaifa unaitwa uzenji huyo ni mtanzania ana haki zote katika serikali ya muungano ya Tanzania na mafuta na gesi ni mambo yanayosimamiwa na serikali ya muungano.
 
Jealous will kill you twat. Transformation aliyoifanya Mchechu inafunika hayo majungu yenu yote nyie losers. Nani alikuwa anajuwa house mortgage finance nchi kabla ya Mchechu? Kisomo au CV siyo fungu la makaratasi yenu Bali ni vipi ulichosoma kina translate kwenye reality positively.

Nani alikuwa anajuwa kuwa NHC ni giant corporate kabla ya Mchechu? NHC ilkuwa inafahamika kama mashirika ya Nyerere yaliyotaifisha nyumba za wahindi na kuwapangisha wahindi na waafrika kiasi. Walikuwa wala hawajengi nyumba.

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Naamini Mchechu aliulizwa tumuweke ani badala yako,ila kuendelea kuwa na mirija NHC akamkumbuka jamaa yake . Ni mwendo wa si kulamba asali tu bali kufakamia asali,tena asali ile ya nyuki wadogo wasiong'ata.
Ulitaka wakupe wewe mfianchi ? Waliogopa utakufa utaliacha shirika bila CEO
 
MWAKALINGA Vs MCHECHU

Ndugu zangu Tujifunze kitu Maisha ni mapokezano ya mbio za vijiti na Jitihada haizidi Kudra (hata uwe na PhDss 3) una ukomo wa huwezi zidi kudra japo Wanadamu wengi tunatamani kuzidi kudra, turudi kwa watu wawili hapo juu.

2015-2021
Arch Mwakalinga alikua mtoto pendwa wa baba kutoka kuwa CEO wa TBA hadi KM Wizara ya Ujenzi, japo wengi sana walikua wanamuona hana uwezo wa nafasi hizo (Wengine Wivu) lakini hizo ndizo kudra zake, wakati huohuo NEHEMIA MCHECHU yeye (sijui) alikua nyumbani anasoma magazeti.

2021 Onwards
Mchechu yeye gari limewaka na anapepea wakati huohuo Arch Mwakalinga (sijui) anasoma magazeti nyumbani kwake.

Yesu aliwaambia watu. "..Jifanyieni urafiki kwa mali ya udhalimu hata watakapowafukuza wawepo wa kuwakaribisha.."
 
Mojawapo ya mafanikio makubwa ya Msajiri wa Hazina anayeondoka Ndg. Benedicto Mgonya ni jinsi alivyoyapatia ufumbuzi malalamiko na kero za muda mrefu za wastaafu wa mashirika ya umma yaliyobinafsishwa. Ni wakati wa uongozi wa Ndg. Mgonya usiozidi miaka 3 ambapo madai ya mamia ya wastaafu yaliyodumu zaidi ya miaka 10 yalipopatiwa ufumbuzi.
Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka kwa madai na maslahi ya wastaafu kupuuzwa na viongozi (ambao wengi wao huwa ni vijana).
Ndg. Mgonya kwa kushirikiana na watendaji ktk ofisi ya Msajiri wa Hazina ameonyesha usikivu, uwajibikaji na busara hadi wakafanikisha utatuzi wa madai sugu na changamoto zilizodumu na kuathiri maisha ya wastaafu kwa miaka mingi.
Kiongozi huyu ni mfano wa kuigwa na wengine. Hakika kwa utendaji kazi wake uliotukuka Ndg. Mgonya anastahili kupandishwa cheo na kupewa madaraka ya juu zaidi. Wastaafu tunamtakia kila la heri kiongozi huyu na tunawashauri wengine kuiga mfano wa Mr. Benedict Mgonya ktk kujali haki na maslahi ya wastaafu baada ya mazoea ya lip service na bureaucracy.
 
 
Hivi Mchechu ni mzur kwenye nin...
Jamaa yupo fiti, huoni mijengo ilivyofumuka mjini chini ya uongozi wake, ni mbunifu na sumu kwa viongozi wenye ufisadi wa sirini.
Ndio mana Magufuri alimfulumusha mana alikazania kuimarisha Dar na miji mikuu bila kutilia mkazo chato.
 
Huu muunganobwa mchongo siku ukivunjika nitafurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…