Inategemea na imani yako wapo wanaoamini wakienda huko wanafanikiwa sasa sijui kama hayo mafanikio yao ni kutokana na huko kweli au inakuwaga ni zari tu.Hivyi wanaweza badili
Hii nchi bado ina safari ndefu sana ya kufikia maendeleo ya kweli.Wakongwe wa JF wanajua tunapoelekea sasa. Bwawa la Nyerere lilipigwa vita sana, hizi mambo zote zitafumuliwa kidogo kidogo. Tuendelee na mtori wetu nyama ziko chini
Totally wrong! Issue ilomng'oa Kalemani ni bei za mafuta! Wizara yake kumekuwepo na mabadiliko ya bei yanayoleta taharuki katika jamii, hebu fikiria wakati serikali ikihaha kutafta ufumbuzi wa malalamiko ya tozo za miamala, ghafla tukasikia bei ya gesi imepaa, serikali ikaituliza! Tena kabla vumbi hilo halijatulia tukasikia bei ya ptroli nayo imeruka, serikali ikatuliza tena!Kalemani amechomoka kisa siasa chafu. Hapo katolewa kisa issue ya umeme kulipia 27,000/- kwa wateja wa aina zote.
Hiyo ilikuwa unfeasible kabisa hata sisi ma layman tuliliona hilo. Ni issue ambayo haiwezekani.
Kila siku wana kazi ya kubadili sheria na kutunga visheria vipya huko bungeni, wanajifanya hawaelewi kuwa katiba ni kuu kuu inapaswa kubadilika!
Totally wrong! Issue ilomng'oa Kalemani ni bei za mafuta! Wizara yake kumekuwepo na mabadiliko ya bei yanayoleta taharuki katika jamii, hebu fikiria wakati serikali ikihaha kutafta ufumbuzi wa malalamiko ya tozo za miamala, ghafla tukasikia bei ya gesi imepaa, serikali ikaituliza! Tena kabla vumbi hilo halijatulia tukasikia bei ya ptroli nayo imeruka, serikali ikatuliza tena!
Mpaka leo serikali bado inakuna kichwa hii fluctuation ya bei ya mafuta chanzo chake ni nini au nani na nani??? ....Ndo hapo wakapata jibu, mtu wa kwanza ni Kalemani, Mama ameshugulika kwanza na Kalemani alafu tuanzie hapo!
Ila kwenye bajeti mpya si ndioiomgeza sh.100 kwa kila lita ya petrol. Tena bibi hangaya akaenda mbali na kusema eti "pesa ndogo tu tumeongeza, ka sh.mia tu"Totally wrong! Issue ilomng'oa Kalemani ni bei za mafuta! Wizara yake kumekuwepo na mabadiliko ya bei yanayoleta taharuki katika jamii, hebu fikiria wakati serikali ikihaha kutafta ufumbuzi wa malalamiko ya tozo za miamala, ghafla tukasikia bei ya gesi imepaa, serikali ikaituliza! Tena kabla vumbi hilo halijatulia tukasikia bei ya ptroli nayo imeruka, serikali ikatuliza tena!
Mpaka leo serikali bado inakuna kichwa hii fluctuation ya bei ya mafuta chanzo chake ni nini au nani na nani??? ....Ndo hapo wakapata jibu, mtu wa kwanza ni Kalemani, Mama ameshugulika kwanza na Kalemani alafu tuanzie hapo!
Kaunguza kabisa sio mchemshoUlinzi kachemsha
Mkuu ile kodi ya mafuta, bei yake tayari ilisha soma! Kuna bei nyingine mpya ilitaka kuanza hapa majuzi tu, serikali ikaizima! Hapo hapo na gesi pia ilikuwa imepanda, lakini serikali ikazuia! Na aliyezuia sio Kalemani ni Kamishna wa Ewura! Kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme wa REA, hili punguzo la bei kuwa 27,000 haliumizi serikali hata kidogo hata wangeweka bure sababu gharama zote za mradi ni wafadhili wanatoa!Wao wenyewe wameongeza kodi kwenye mafuta ktk budget iliyoanza July halafu wao wenyewe tena washangae tena kupanda kwa bei ya mafuta? Hiyo itakuwa obvious insanity bila mjadala. Upo uwezekano mkubwa ni ile 27 ndiyo iliyomuondoa Kalemani. Lengo la hii awamu ni kuwakamua wananchi as much they can then unakujaje na wazo la 27 tutapata wapi pesa za matanuzi ya kusafiri na kurun ikulu 3??
Majambazi wote dunia huwa ni wapole Sana na wakimya!January ni mtu sahihi sana
Mnyenyekevu msikivu Elimu ustaarabu Mkimya
Anafaa hata huko mbeleni
Yule Mzee mstaafu aliyemkana kwa kujipendekeza kwa Mwendazake, kipindi January amevurugwa sijuwi atajisikiaje na uteuzi huu wa JM!January ni mtu sahihi sana
Mnyenyekevu msikivu Elimu ustaarabu Mkimya
Anafaa hata huko mbeleni
Mkuu ile kodi ya mafuta, bei yake tayari ilisha soma! Kuna bei nyingine mpya ilitaka kuanza hapa majuzi tu, serikali ikaizima! Hapo hapo na gesi pia ilikuwa imepanda, lakini serikali ikazuia! Na aliyezuia sio Kalemani ni Kamishna wa Ewura! Kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme wa REA, hili punguzo la bei kuwa 27,000 haliumizi serikali hata kidogo hata wangeweka bure sababu gharama zote za mradi ni wafadhili wanatoa!
Pia kuweka gharama kubwa za kuunganisha umeme ni kuzuia wateja, Kumbuka mteja akishakuwa ameunganishiwa umeme tayari anakuwa mteja wa kudumu na hapo hapo atalipa hadi kodi ya majengo, hivyo sioni kama kuna tatizo katika bei hii!
Yule Mzee mstaafu aliyemkana kwa kujipendekeza kwa Mwendazake, kipindi January amevurugwa sijuwi atajisikiaje na uteuzi huu wa JM!
Haaaaa anajua sana Ung'eng'e yuleKuna tofauti kubwa kati ya kupiga porojo kwenye kijiwe cha kahawa na kufungua na kupitia mafaili na ma documents kibao tena ya kimombo