Tatzo kumpata mCCM hata mmoja mwenye akili ni changamoto Sana anapata taabu Sana anataman akina Profesa J wangekua wabunge labda au akina mnyika Basi hata afanye nao kazi. Imagine katika wabunge anaotakiwa awachague labda wawe mawaziri eti ndo akina Cathy Magige au Babu tale.Waliopo wote hamna kitu pale, hamna wa kumsaidia na yeye anajua. Wote wale ni wezi tu
Unaonekana unanijua sana mkuu, maana una uhakika kabisa mimi ni njaa kali.
Anyways hapa jF tunatumia fake IDs, sitakiwi kushangaa, huenda wewe ni mke wangu umeshaijua I'd yangu kimyakimya.
kwa jinsi ulivyo na chuki naamini wewe ni MWANAMKE tena MJAMZITO
Umeeleweka vizuri,chawa wa Makamba.kwa jinsi ulivyo na chuki naamini wewe ni MWANAMKE tena MJAMZITO.
Mkuu wapi nimesema hatupo tayariSasa hapo ndpo tunaanza na tatzo, unafkr tulikuwa tayar kuongozwa na mwanamke?? Na Kama tulikuwa tayar Nan tulimwandaa kuwa?? uRais c bahati nasib mkuu.. unaona Sasa, hata ww unakil hatuko tayar Sasa Ni Lin tulisema tuko tayari??
Huyu February Ni mtaalam wa kuiba kura kitaifa sitisahau alichokifanya 2015 he haya Ni maandalizi ya 2025Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
- Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
- Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
- January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
- Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
- Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.Chamriho ni kabila gani? Na kajaza kina nani?. Mimi najua watu wengi wanafanya kazi wizara ya ujenzi na sijawahi jua kabila la huyu mwamba. Anyway nadhani kina namna ulishakuwa compromised. Ni bora umtuhumu kwa haki na sio chuki
Hivi wewe ni kabila gani? tuanzie hapo Kwanza.Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
Na wewe uchawa unakuongezea nini kwenye maisha yako?Unafiki unakusaidiaje kipato chako kuongezeka?
No comment.Amshukuru na JK
Kalemani Ni kafisadiUnajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana
Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi...