Waliopo wote hamna kitu pale, hamna wa kumsaidia na yeye anajua. Wote wale ni wezi tu
Tatzo kumpata mCCM hata mmoja mwenye akili ni changamoto Sana anapata taabu Sana anataman akina Profesa J wangekua wabunge labda au akina mnyika Basi hata afanye nao kazi. Imagine katika wabunge anaotakiwa awachague labda wawe mawaziri eti ndo akina Cathy Magige au Babu tale.
 
Unaonekana unanijua sana mkuu, maana una uhakika kabisa mimi ni njaa kali.

Anyways hapa jF tunatumia fake IDs, sitakiwi kushangaa, huenda wewe ni mke wangu umeshaijua I'd yangu kimyakimya.
kwa jinsi ulivyo na chuki naamini wewe ni MWANAMKE tena MJAMZITO.
 
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
kwa jinsi ulivyo na chuki naamini wewe ni MWANAMKE tena MJAMZITO

kwa jinsi ulivyo na chuki naamini wewe ni MWANAMKE tena MJAMZITO.
Umeeleweka vizuri,chawa wa Makamba.

A. K.A lokole
 
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
  1. Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
  2. Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kuchukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile ambae uteuzi wake umetenguliwa
  3. January Makamba anachukua nafasi ya Merdard Kalemani wizara ya Nishati
  4. Makame Mbarawa anachukua nafasi ya Chamuriho wizara ya ujenzi na uchukuzi
  5. Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya Kilangi kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali


Huyu February Ni mtaalam wa kuiba kura kitaifa sitisahau alichokifanya 2015 he haya Ni maandalizi ya 2025
 
Unajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana

Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi


Kwa chamuriho tena umechelewa huyu alitakiwa awe nje chamuriho ni mkabila mnoo yaani ni miongoni mwa watu alojaza ndugu zake na kabila lake wizarani yaani ni mkabila balaa halafu ni mlinda legacy ya bwana yule mimi sipendi lile genge hadi kufa

Ila kwa kalemani sijafurahi aisee labda ukute naye alikua lile genge maana wale jamaa hapana kwa kweli.

Naomba mama usiishie hapo mtoa na mwigulu ukimaliza tumbua na ufukuze lile genge lote anzisha operesheni safisha safisha hadi hilo genge litolewe maana haiwezekani kuanzisha kikundi cha kikabila wakati nchi yetu haina ukabila

Kumtoa chamuriho umeupiga mwingi, ila kwa kalemani mama hapo nina mashaka sio poa
 
Chamriho ni kabila gani? Na kajaza kina nani?. Mimi najua watu wengi wanafanya kazi wizara ya ujenzi na sijawahi jua kabila la huyu mwamba. Anyway nadhani kina namna ulishakuwa compromised. Ni bora umtuhumu kwa haki na sio chuki
 
Chamuriho siyo wa sifa hizo za ukabila unazosema.sioni ubaya wa kumusifia mtu aliyekushika mkono..hata weww aliyekuahika mkono kama humuheshimu basi unamatatizo..Umesema aondoe wasukuma waote kwwnye swhemu nyeti..je wachaga waliojazana sehemu nyeti miaka yote unasemaje?
 
kati yako wewe na Rais ni nani amajua sababu ya kumtoa kalemani? hivi unafikiri kaamua tu kumtoa from nowhere?
 
Chamriho ni kabila gani? Na kajaza kina nani?. Mimi najua watu wengi wanafanya kazi wizara ya ujenzi na sijawahi jua kabila la huyu mwamba. Anyway nadhani kina namna ulishakuwa compromised. Ni bora umtuhumu kwa haki na sio chuki
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
 
Kumutoa Kalemani siyo shidanila shida ni yule aliyemuweka na tabia za kiswahiliswahili,,ndo maana tunaona wanaagenda zao za siri kulikotulivyofikilia
 
Mjita,Wajita ni Matatizo ndio wanaotusimbua Mkoa wa Mara! Uchawi wao,unafiki wao,uchoyo wao,majivuno wao,roho mbaya wao.tena wanafanana Wanaume&Wanawake.
Najua siyo vizuri kudhihaki kabila la MTU,lakini hilo kabila ni hovyo sana wachache sana wapo tofauti.
Hivi wewe ni kabila gani? tuanzie hapo Kwanza.
 
Waziri wa nishati January Makamba amemshukuru Rais wa JMT mh Samia kwa uteuzi aliopata.

January amesema kazi aliyopewa ni ngumu lakini atajitahidi ili aweze kufikia malengo.

Source: Clouds media
 
Unajua mama huyu kalemani usingemtoa aisee yuko poa sana, kafanyaje kazi nzuri sana

Huyu waziri kaonyesha output kabisa yaani anafaa sana kwa maendeleo ya kazi kazi kazi sio mtu wa kucheka cheka ni mtu wa kazi...
Kalemani Ni kafisadi
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom