Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

JWTZ Jeshi la Wakurya Tangu Zamani.
Kwa hiyo hapo umehitimisha ya kwamba endapo watumishi wa kabila fulani wakionekana wamepangwa kufanya kazi eneo fulani ina maana kinachoangaliwa ni utendaji bora kwa manufaa ya wananchi wengi sio undugu, kabila, kanda, rangi au itikadi kama mleta mada alivyodai?

Kipindi jeshi linaongozwa na jenerali kutoka Mara mwenye elimu ya darasa la nne hakuna hata mmoja alithubutu kuinua domo lake kuhoji leo hii watu fulani kama Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wamwera, Wamasai au Wadigo kuaminiwa katika nafasi kadhaa na ufanisi ukaridhisha imekuwa nongwa?

Mbona hamjawahi kulalamika enzi za Basil Mramba enzi hizo alijaza Wachagga watupu katika idara nyeti hasa fedha, uhandisi, biashara na viwanda?

Huyo mtoto wa Magufuli aliyepewa ubunge ni nani mbona hatujawahi kumsikia hata siku moja?

Watu waliokuwa maadui wakubwa na walimchukia sana John Pombe Joseph Magufuli kwa asilimia kubwa ni wanaCCM wenyewe wa ndani sio kutoka vyama vya upinzani ambao kimsingi walikuwa wakitumia haki yao ya kikatiba na kisheria kumpa changamoto za kiutendaji ili kuboresha kwa manufaa ya watanzania bila kujali itikadi za kisiasa au kidini.
 
umesahau USA mbona ndugu na kikoo wanawekana mfano tosha Trump.
umesahau UK tena ukoo wa elizabeti wanapeana vyeo.
umesahau URUSI kwa putini,Umesahau uganda,umesahau kwa kiduku
Kenyatta je, bora Magufuli alikataa wenye jina linalomhusisha moja kwa moja kuwapa nafasi
 
Kwa hiyo hapo umehitimisha ya kwamba endapo watumishi wa kabila fulani wakionekana wamepangwa kufanya kazi eneo fulani ina maana kinachoangaliwa ni utendaji bora kwa manufaa ya wananchi wengi sio undugu, kabila, kanda, rangi au itikadi kama mleta mada alivyodai?

Kipindi jeshi linaongozwa na jenerali kutoka Mara mwenye elimu ya darasa la nne hakuna hata mmoja alithubutu kuinua domo lake kuhoji leo hii watu fulani kama Wahaya, Wanyakyusa, Wasukuma, Wamwera, Wamasai au Wadigo kuaminiwa katika nafasi kadhaa na ufanisi ukaridhisha imekuwa nongwa?

Mbona hamjawahi kulalamika enzi za Basil Mramba enzi hizo alijaza Wachagga watupu katika idara nyeti hasa fedha, uhandisi, biashara na viwanda?

Huyo mtoto wa Magufuli aliyepewa ubunge ni nani mbona hatujawahi kumsikia hata siku moja?

Watu waliokuwa maadui wakubwa na walimchukia sana John Pombe Joseph Magufuli kwa asilimia kubwa ni wanaCCM wenyewe wa ndani sio kutoka vyama vya upinzani ambao kimsingi walikuwa wakitumia haki yao ya kikatiba na kisheria kumpa changamoto za kiutendaji ili kuboresha kwa manufaa ya watanzania bila kujali itikadi za kisiasa au kidini.
Acha kuandika insha, nimeshafafanua swala hilo.
 
Niza doyi unakwenda nje ya debate! Hao wenyeviti uliowataja walianzisha hivyo vyama na wanachama watatoka popote! Hizo siyo serikali
 
Back
Top Bottom