Usiingie kwenye ndoa au mahusiono na mkombozi wa ukoo

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,859
Wasalaam wakuu!!

Nisiwachoshe, msinichoshe, kwa kifupi tusichoshane, naruka nakupepea kimadoido moja kwa moja kwenye hoja yangu!

Naileta hoja hii mezani nikiwa moja ya wahanga wa mahusiano na mtu mwenye mtoto tayari(single maza mkombozi wa ukoo) , naam narudia tena single maza mkombozi wa okoo, ogopa sana sampuli ya namna hii, hii ni sampuli hatarishi kati ya zote huzijuazo za masingle maza ulimwenguni na ukitaka uishi kwa depression na mawazo ingia kwenye mahusiano ama ndoa na hii sampuli tata, hawa ni Kausha Damu, visuma, hao ni zaidi ya marejesho ya byport ni heri udaiwe na bank kuliko kukutana na mahitaji ya mkombozi huyu wa ukoo, unaweza jikuta unameza AZUMA na wakati hauna uti kwa stress.

Sampuli hii iko radhi mkose chakula ndani ili kaka yake wa kule ilagala au kamachumu apate pesa ya kwenda Lodge kutafuna malaya.

Mara zote wanalia shida na mkikosana anampost mwanae status na kuandika "furaha yangu ya ukweli". Sampuli ya namna hii ukiiambia kuhusu matatizo na mahitaji ya ndugu zako inakuona kama hamnazo na mara nyingi hua zinajitahidi sana kupotezea mada kama hizo na kutoa kipaumbele kwa yale yanayomuhusu yeye na familia yake.

Sampuli hii hatarishi ya single maza mara nyingi maongezi yake huwa ni" sasahivi bamdogo anapaswa tumuongezee kaeneo kengine pale ileje, au utasikia mtoto wa kaka Frank amekwama Ada tunafanyaje?, au da Mary kapigwa kichwa cha mdomo na mme wake ebu aje tukae nae hapa kidogo, ". hawa ni watu hatari sana kwa maendeleo yako kijana, akianza hayo maongezi kesho yake mfukuze.

#Kataa wakombozi wa ukoo
 
Single Mothers ni KAUSHA DAMU.

20240115_233655.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acheni ubinafsi
 
Back
Top Bottom