Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Like! pesa inafanya mapenzi yawe na uhai.. Pesa ikisepa nao uhai wa penzi utoweka na penzi hufa.
Pesa jamani ndio kila kitu .. Bila pesa hakuna mapenzi trust me
Hawa walioleta msemo kuwa mapenzi sio pesa nia yao ni kufarijiana na kuulinda umaskini.. Na kufarijiana.. Ni kama wale wanaodai kuwa eti kibamia sio kero