Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ok ma opinion is that if u r married 4 da sake of wealth ur digging ur own sorowful grave... Wanadamu tuna hulka za ajabu sana kwenye maisha yetu ya kilasiku tunamsahau hadi muumba wetu kwa kukumbatia mambo ya dunia. Hakuna maana halisi ya ndoa zinazoitwa takatifu kwa watu wengi siku hizi wala maana ya mapenzi ya kweli kisa kukurupuka... Ndugu zangu nnachoweza sema ni hiki naona maadili kumong'onyoka ndo 2meangukia katika huo utatu nakaribisha mawazo
 
Mada niliyoanzisha inadodosa "kwanini mwenye pesa na umri mkubwa anatiliwa shaka pale anapopendana na mtu mwenye umri mdogo kuliko yeye?" au Kwanini mapenzi kama haya yanaonekana fake?
 
Huyo mama ana miaka 80 tayari...katika hali ya kawaida/iliyozoeleka alitakiwa awe nyumbani anacheza na wajukuu kama mume wake hayupo tena...au kama yupo wako bize kucheza karata na kunywa kahawa!!Na kitendo cha mtu ambae ni mdogo kuliko mama wa miaka 80 kutaka kua na mahusiano ya kimapenzi na mama hata kufikia kuoana kwa wengi ni kitendo ambacho hakijazoleka!!Sasa ukiongeza
pesa juu ndo wale wenye kushangaa kwanini huyo baba anataka kumuoa mmama mkubwa hivyo wanapata sababu...kwamba ni pesa tu!

Siwezi kuwalaumu wanaofikiria hivyo completely ukichangia maisha ya siku hizi yalivyo...watu wanakaa chini na calculator kabla ya kuamua kama amuoe/olewe na fulani.Ni hali ya kawaida kwa sasa...kwa hiyo hata wangekua na umri sawa...hata wangekua bado vijana bado wapo ambao wangehisi kwamba ni pesa tu ndo zinazochochoea mmoja kumkubali mwingine.
 
<br />
Hapo sasa!! Ukiwa nazo unaonekana hupendwi wewe bali pesa yako.Kwanini lakini?[/QUOTE]

Well,
Labda sababu mara nyingi ni hivyo,
Utakuta mtu anasura chachu kama ukwaju
Lakini mifukoni hakuna nafasi .. halafu cheki
Wasichana au vijana anao wa date ..mwehh

Chukulia mfano babu wa Play boy mansion ..
Ingekuwa hana fedha sasa hivi angekuwa kwenye Rest home .. anajisaidia kwenye
kamodi nakuogeshwa na caregivers ..

Usema ukweli huyu ni tajiri wa KWAZA
Na msikia anaachia fedha zake ajili ya
Upendo...
 
...hapo ndio lile suala la Prenuptials Agreement linapoingia kati. Hivi Tanzania, bwana mdogo akioa bibi kizee kikongwe mwenye pesa zake, anastahiki sehemu ngapi (gani) ya urithi ya huyo Bi Mkubwa? Vipo vibibi vyenye hela sana hata hapa Tanzania....lol...!

WoS, hii mada ipo very sensitive kutokana na mila na tamaduni za watu. Kwa Ughaibuni naona hawana shida kama Lizzy Taylor alivyokuwa anaoa (olewa) na 'vijana.' Ila kwa Tanzania, na sehemu nyingi tu duniani, mwanaume akimuoa mwanamke sawa na bibi yake, ...kiukweli hapo suala la mapenzi litakuwa kwenye Question Mark jamani...

Recently, kuna story (tetesi) imevuja mheshimiwa fulani mwenye jina kubwa tu Tanzania eti anatembea na binti (wa family friend yake) ambaye ana umri chini ya hata wanawe wawili wakubwa. Hii ni nini jamani? Nini kimefuatwa hapo kama sio 'unafuu wa maisha na huyo mazee tamaa za mwili? ---

Tuyatafsiri vipi aina hii ya mapenzi?
 
Ni kusambaratika kwa maadili na vituko vya dunia hii mapenzi ya kweli hayajali hvyo vyote umri,fedha wala nn ni kwasababu wengi tunaoishi kwenye kizazi hk kama c wasanii cie wenyewe bac 2mezungukwa na wasanii wa mapenzi thats why any luv scene people will direct their mind in finding where are the elements of sanaa located in such a scene' i welcome ur coments
 
Huyo mama ana miaka 80 tayari...katika hali ya kawaida/iliyozoeleka alitakiwa awe nyumbani anacheza na wajukuu kama mume wake hayupo tena...au kama yupo wako bize kucheza karata na kunywa kahawa!!Na kitendo cha mtu ambae ni mdogo kuliko mama wa miaka 80 kutaka kua na mahusiano ya kimapenzi na mama hata kufikia kuoana kwa wengi ni kitendo ambacho hakijazoleka!!Sasa ukiongeza
pesa juu ndo wale wenye kushangaa kwanini huyo baba anataka kumuoa mmama mkubwa hivyo wanapata sababu...kwamba ni pesa tu!

Siwezi kuwalaumu wanaofikiria hivyo completely ukichangia maisha ya siku hizi yalivyo...watu wanakaa chini na calculator kabla ya kuamua kama amuoe/olewe na fulani.Ni hali ya kawaida kwa sasa...kwa hiyo hata wangekua na umri sawa...hata wangekua bado vijana bado wapo ambao wangehisi kwamba ni pesa tu ndo zinazochochoea mmoja kumkubali mwingine.

hahahhaha mazoea na mitizamo katika jamii siyo? Lakini hamuoni mitizamo mingi siku hizi yanabadilika? Nimecheka hapo kwenye calculator lol.... mapenzi ni commodity kama comodity nyingine ehhh?
<br />
Hapo sasa!! Ukiwa nazo unaonekana hupendwi wewe bali pesa yako.Kwanini lakini?

Well,
Labda sababu mara nyingi ni hivyo,
Utakuta mtu anasura chachu kama ukwaju
Lakini mifukoni hakuna nafasi
.. halafu cheki
Wasichana au vijana anao wa date ..mwehh

Chukulia mfano babu wa Play boy mansion ..
Ingekuwa hana fedha sasa hivi angekuwa kwenye Rest home .. anajisaidia kwenye
kamodi nakuogeshwa na caregivers ..

Usema ukweli huyu ni tajiri wa KWAZA
Na msikia anaachia fedha zake ajili ya
Upendo...[/QUOTE]

hahahahhahah uchachu wa sura huwa neutralized na uzito wa mfuko?
Babu Heifner wa PB ... huyu ni kiboko maana kujaza vimwana ndani ya mansion na kuwaharibu mbaya kwa pesa
na ajabu wazazi wa wasichana hao wanabariki kabisa "uharibifu" huo! Sipat picha waume waliowaoa baadhi ya wale
wachumba wa Heif HUWA WANAWAZA NINI!

...hapo ndio lile suala la
Prenuptials Agreement linapoingia kati. Hivi Tanzania, bwana mdogo akioa bibi kizee kikongwe mwenye pesa zake, anastahiki sehemu ngapi (gani) ya urithi ya huyo Bi Mkubwa? Vipo vibibi vyenye hela sana hata hapa Tanzania....lol...!

WoS, hii
mada ipo very sensitive kutokana na mila na tamaduni za watu. Kwa Ughaibuni naona hawana shida kama Lizzy Taylor alivyokuwa anaoa (olewa) na 'vijana.' Ila kwa Tanzania, na sehemu nyingi tu duniani, mwanaume akimuoa mwanamke sawa na bibi yake, ...kiukweli hapo suala la mapenzi litakuwa kwenye Question Mark jamani...

Recently, kuna story (tetesi) imevuja mheshimiwa fulani mwenye jina kubwa tu Tanzania eti anatembea na binti (wa family friend yake) ambaye ana umri chini ya hata wanawe wawili wakubwa. Hii ni nini jamani? Nini kimefuatwa hapo kama sio 'unafuu wa maisha na huyo mazee tamaa za mwili? ---

Tuyatafsiri vipi aina hii ya mapenzi?

Mbu bana! Prenups Bongo..sijui kama zimeshafika.Nina uhakika kama zipo basi "mazoezi ya kuoana" yatakuwa yanasitishwa kila mara.
Unafiki umezidi sana Bongo au kwa waafrika na ndio maana Prenups ZITAKUWA NGUMU.Na hii inatokana na hizohizo mila na desturi ambazo zinaficha ukweli kwamba mahusiano ya kimapenzi siyo suala la kijamii tu ni suala mtambuka!

Ni kusambaratika kwa maadili na vituko vya dunia hii mapenzi ya kweli hayajali hvyo vyote umri,fedha wala nn ni kwasababu wengi tunaoishi kwenye kizazi hk kama c wasanii cie wenyewe bac 2mezungukwa na wasanii wa mapenzi thats why any luv scene people will direct their mind in finding where are the elements of sanaa located in such a scene' i welcome ur coments

Hhahahhaha umenichekesha kweli.Mbu kasema hili ni suala sensitive lakini naomba nami niongezee kuwa ni suala la kuchekesha maana hakuna mwenye kuweza kupenya akilini mwa watu na kuelewa kinachoendelea.
 
Walau kinadharia yes, inawezekana kuona kuwa ni kawaida, ila kiuhalisia hapo kila mtu ana interests zake za kwa nini aingie kwenye hiyo ndoa...kuanzia kurafuta fame gadi pesa
 
Wenzetu nahisi wanakuwa na nguvu hadi kwenye miaka kama hii, maana utakuta kibibi kina miaka hadi 120 kinadunda tu,ila mie hapa kwa hawa nahisi kuna walakini, sema bibi keshaamua kutoa hizo pesa, nahisi jamaa analaani kimoyomoyo sana, na hawezi kurudi nyuma coz hakutegemea bibi kama atakuwa na uamuzi wa kishujaa hivyo, utaona hata wakioana baada ya muda mfupi jamaa atamwacha
 
Shantel,
Umenichekesha sana lol

Huyu bibi naye! Anajiaminisha vipi hivyo kugawa mali zake kisa penzi? Mapenzi huchanua na kunyauka... amejiwekea akiba for rainy days?
 
Hivi Wos unadhani bibi mjinga agawe zote kabisa? pia kama ni tajiri akiba yake ya uzeeni si ya kitoto, nursing home inafanyika kwake, tayari kwenye catalogue kesha book coffin yaani kila kitu kinaenda vyema,na pesa ya kwenda movie na yanki wake ipo hana presha ila sasa huyo baba yuko tayari kweli na mahesabu tayari alishapiga
 
Utatu huu kwanini unakuwaga na utata? Haijalishi kabila, taifa wala rangi.

Inakuwaje watu wanapopenda na ikatokea hivi vitu vitatu vipo basi maneno hayaishi?

Someni hii habari hapo chini mtaona nina maana gani. Kwani mara ngapi tumeona, kusikia au kusoma watu
kama hawa wenye umr mkubwa kuoana lakini maadam hakuna hivyo vigezo vitatu kwa pamoja basi maneno
hata kama yapo ni ya kichinichini zaidi.

Ukiwa na mali/pesa utaandamwa wee! Je watu wajifukarishe ndipo waaminike kuwa wanapendana kweli?

WoS habari ya siku dear....

My mtazamo... ni kua kweli tusidanganyane hayo mambo ni muhimu (speaking from experience) katika mapenzi kati ya wawili... siku za mwanzo ni kawaida for a couple who is in love to think nothing else matters zaidi ya mapenzi yao... which is always wrong to assume so, for in the long run yale ambayo mme ignore hua yana strain the so called love you have...

Umri
Imagine hao watu wa magharibi na kuendelea kwao koote na kuhalalisha hadi gayism bado hata pande zao pia suala zima la umri hasa kama imevuka mno hua inaleta minong'ono mingi na hata ya wazi kama ulivoonesha hapo... mimi naamini dhana nzima ya mwanamke kua mdogo kwa mwanaume inatokana na the fact kua akili ya mwanamke hupevuka haraka zaidi kuliko ya mwanamke... Ukikuta binti wa miaka 18 vs kijana wa 18, waweza kuta binti yuko way over in ufikiri kuliko huyo kijana... Na hata kwa kuzingatia mambo kibao mengine... kama maumbile and the like..

Pesa
IMO in most cases... kweli kabisa kwa mwanaume alokupenda ile kwa dhati.... hua hana amani kabisa na kama una pesa ndefu kuliko yeye... for kawaida ni kwamba mwanaume akipenda mwanamke anataka awe responsible in any way from ku provide, kua more powerful, pesa zaidi (naweza sound old fashioned... but kuna mambo hayabadiliki bana- labda kwa kulazimishwa!); Ndo maana waweza kuta mara nyingi a guy kampenda mwanamke but sababu ana pesa sana anaamini kabisa a-sacrifice... Matatizo ya kuoa mwanamke mwenye pesa kuliko the guy:
  • Marafiki/ndugu/jamii na jamaa hujenga dharau juu ya the guy.
  • Familia zenu zikikutana wakati wa shida na furaha hushindwa hata mingle for wana lugha tofauti (yaani topics-issues of interest)
  • Kila mwanamke akikosa hata kama bahati mbaya the guy feels anadharauliwa...
  • Inamvua the guy self esteem yoote... labda kama naturaly yeye ni yule ambae alimfuata mwanamke kwa ajili ya hio pesa....
Note that: madhara yake hata kama wapendana kiasi gani... in the long run inaleta tensions, na mapenzi kupauka (thou kuna exceptions)

Mapenzi

Hapa WoS.... Naweza write pages... Jamani it is a wonderful feeling to fall in love..... Niseme nini?? Hilo tu ndio inanifanya nimuelewe huyo bibi...
 
Mapenzi yanaweza kufanya ukafanya maamuzi ya ajabu sana , kwa hili huyu bibi nae katoa kali....asha umeelezea vizuri sana
 
Mimi nafikiri pesa ni kichocheo cha mapenzi ya marika tofauti, namaanisha Baba mtu mzima na kasichana ka shule au Mama mtu mzima na Sharobaro. Wewe unasemaje?

Attachments

  • mapesapesa.jpg
    mapesapesa.jpg
    18.9 KB · Views: 136
Na hii nayo ni habari kweli? Mnawapa kazi ya ziada mamods kufutafuta upuuzi wenu.
 
Mwita25 na Somoche nadhani hamuelewi maana ya habari mchanganyiko na pia hamjui kwamba si lazima kila mtu humu aandike kitu unachotaka wewe, lakini zaidi wewe unayeyajua sana matatizo ya nchi umeandika nini kuonesha masikitiko yako? acheni unafiki hata msibani wengine wanalia, wengine wanacheka na wote wanauchungu na ni ndugu wamoja!
 
Nimeipenda hiyo picha imenichekesha sana,hapo ni mjusi kaangukiwa na gogo,na huu ndio ukeel wenyewe.mambo ya madeshee na vitoto vya shule,kunabint mmoja kpnd nipo chuo alikuwa anahukuliwa na bonge la mbaba halafu babu kiasi llan hv,akampangishia nyumba sinza mori,fataki akawa ni anamtindua tigo kabiti ka watu mpaka kakaanza kutembea upande upande,mkiwa mnakula lecture kila dakika kanaenda choon na kakirud lazima kawe kamejigonga perfume,babu alikuwa anakula tigo na kukaeleza kuwa huko mbele hana shida nako kwan hata mkewe anayo,hvyo haiwezekan upatiwe kitu ambacho amekiacha home pia.
 
Back
Top Bottom