umeona lizy eeh mimi kuna kibabu yaani nikiona hizo mvi zake nachanganyikiwa ila ndo ivo naogopa maneno watasema nafata dolaHaya mawazo ndio yanayofanya hata wale wanaopendana kweli bila kujali umri wala wallet wakose amani na wapenzi wao!!Ukweli ni kwamba wapo wanaokubali kwa ushawishi na wengine kabla hata hawajaambiwa chochote walishavutiwa.
Kumbukeni tu kwamba kila kitu hapa duniani kina pande mbili...na ukiona mmoja ujue na wapili uko sehemu tu umejificha!!!
u r right 100%Kwasababu ni wabahili na hawapendi kuwapendezesha wake zao.
Aisifue mvua imemmnyea, kwa hiyo wanasema hivyo kwa kuwa yameshawakuta!!kwa mtazamo wangu na utafiti wangu,wanaume wengi wanasema wanawake wengi wanapenda mapenzi ya pesa,je mnaweza kunisaidia kujibu,kwanini wanasema ivyo?
kwa mtazamo wangu na utafiti wangu,wanaume wengi wanasema wanawake wengi wanapenda mapenzi ya pesa,je mnaweza kunisaidia kujibu,kwanini wanasema ivyo?