Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,451
Eishh!At least umelisema hili ndugu yangu na ukichunguza wanaoamini kuwa wanapendwa kwa ajili ya pesa zao ni wanaume!! Mwanaume mwenye pesa akipendwa awezaamini kuwa anapendwa kwa ajili ya pesa zake lakini je mwanamke mwenye pesa akimpenda aso nazo?? naye atasema apendwa kwa pesa yake??.....................
Sasa tunapozungumzia pesa kwani tulimaanisha hiyo pesa awe nayo mwanaume? Hata mwanamke akiwa na pesa mwanaume asiwe nazo.....PENZI LINAKUWA TAMU SANA!...........Achaneni na kitu PESA!