Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
kwa mtazamo wangu na utafiti wangu,wanaume wengi wanasema wanawake wengi wanapenda mapenzi ya pesa,je mnaweza kunisaidia kujibu,kwanini wanasema ivyo?
sehemu kubwa ya akina dada wa karne hii they are material girls.................................and only huge sums of money may provoke them to smile................and when they do smile you know you will have a way with them.........