Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Rejea maneno yangu mapenzi ya kweli ni yapi?Moyo ukikupenda hata upate hiyo ajali unayosema sitaacha kukupenda Tumeumbwa tofauti mimi huwa naacha zile hisia zangu za ndani ziseme huwa sipendi hovyo hovyo labda kutamani.[/QUOTE]

we ni mkweli mno dadake!!na natamani ukitamani uwe pia mkweli hivohivo kusema 'nimekutamani!"
 
Kwanini huu uwe Ubinafsi sababu anapenda mwanaume mwenye Cash na isiwe Ubinafsi sababu anapenda mwanaume mwenye sura nzuri au Personality nzuri kumzidi?

Kwanini isiwe selfish kumpenda mwanamme mwenye elimu and smart kuliko wewe mwanamke lkn iwe selfish kisa pesa?
 
Hapo umeongea lakini priority zipo tofauti..., sababu bibi yako hakuweka pesa mbele does not mean bibi yake Bakari aliyeweka pesa mbele alikuwa any more right or wrong..., na huenda hawa Bibi wote wawili walifurahia maisha..., By the Way Money dont hurt Nobody huenda smile ya bibi ingeongezeka maradufu kuwa na uwezo wa kumtreat mjukuu wake with anything... 🙂
Kama ungefuatilia nlichokua najibu swala la huyo ndie na yule sie lisingejitokeza!!
 
Hii thread nzuri sana,

pesa siyo kila kitu,
ila kwa maisha ya sasa/kipindi hiki/karne hii, pesa hurahisisha kila kitu,
japo haiwezeshi kila kitu/jambo.

Kivitendi kwa maisha ya sasa ni vigumu sana upendo, mapenzi na pesa kuvitenganisha.

Kwa hiyo basi anayependa pesa kwanza asilaumiwe bali aelimishwe.

Umenena mazuri....

ulipotea???
 
Kwa kweli topic hii yahitaji kufikiria kwa kina haswa!!!!!

I did experience what I call real love/true love once, nikirudisha hisia nyuma nini kilinifanya nipende hivyo, naweza kusema nilimuadmire (what did I admire?) The whole of him, jokes, intelligence, way he talks, way he is. What about looks? he was just plain man, a little chubby I would say he was not so sexy or handsome, what about Money, he had enough but money was never an issue, in fact he never gave me a dime (zawadi tu)
Sasa baada ya kureflect, nafikiri it is more of a personality ya mtu ndicho kinachomvutia mwingine kuliko looks or wealthy kwa maana ya true love, kwa bahati mbaya i believe that True Love only happens once in ones lifetime, for those unlucky maybe never;

swali litakuja....what happens to me now?
Ninakuwa na mpenzi (napenda) ili kuna sifa naangalia now, kwanza tabia, age, shule, looks, financial stability (money) geographical area etc! And to be honest; bado nampenda my TL pamoja ya kuwa hatuna uhusiano wa kingono for over 7 yrs now!

Hivyo kwa conclusion yangu, mapenzi ya pesa hayana ubaya kama yalivyo mapenzi ya sex! lakini mapenzi ya kweli TL yanaenda ndani zaidi ya sex, pesa, umbo no9/8/6/1, sura etc.
 
Mkuu VoR kusema ukweli through this thread, nimejifunza mengi sana. Ninafurahi sana kuiona MMu ya zamani ikirejea tena (I hope the feeling is the same na Kamanda wangu MTM)..... my take ni kuwa definition ya TRUE LOVE inavary...........to me true love ni ile hali ya wewe kuwa na hisia juu ya mtu umpendaye, hisia ambayo haiko direct ...yaani huwezipin point kile kitu kinachokufanya uwe na hisia ya aina hiyo kwa mtu huyo unayempenda! yaani ...its unexplanable huwezisema unampenda flani kwa sababu ya sura....sura pekee haikufanyi umpende in what we define ......true love! yaani wewe unampenda tu kwa vile anavyofanya ujifeel, ukimkumbuka tu unasikia raha.......yaani its a person you feel like unataka tu muda wote uwe naye karibu. Sasa unapoanza kudefine true love kwa kupoint vitu vinavyokufanya umpende kidogo inakuwa na utata kwani what if unachokipenda kitapotea?? So the same applies kwenye mapenzi ya pesa..................ingawa ni ngumu kutofautisha penzi la kweli na penzi la pesa kwa sababu usually it takes time kwa mtu kufilisika (au kukubali kufilisika) otherwise ingekuwa rahisi kulijua lipi la pesa na lipi la kweli. Ni mawazo yangu tu.
Well Said....Very True
 
Kwa kweli topic hii yahitaji kufikiria kwa kina haswa!!!!!

I did experience what I call real love/true love once, nikirudisha hisia nyuma nini kilinifanya nipende hivyo, naweza kusema nilimuadmire (what did I admire?) The whole of him, jokes, intelligence, way he talks, way he is. What about looks? he was just plain man, a little chubby I would say he was not so sexy or handsome, what about Money, he had enough but money was never an issue, in fact he never gave me a dime (zawadi tu)
Sasa baada ya kureflect, nafikiri it is more of a personality ya mtu ndicho kinachomvutia mwingine kuliko looks or wealthy kwa maana ya true love, kwa bahati mbaya i believe that True Love only happens once in ones lifetime, for those unlucky maybe never;

swali litakuja....what happens to me now?
Ninakuwa na mpenzi (napenda) ili kuna sifa naangalia now, kwanza tabia, age, shule, looks, financial stability (money) geographical area etc! And to be honest; bado nampenda my TL pamoja ya kuwa hatuna uhusiano wa kingono for over 7 yrs now!

Hivyo kwa conclusion yangu, mapenzi ya pesa hayana ubaya kama yalivyo mapenzi ya sex! lakini mapenzi ya kweli TL yanaenda ndani zaidi ya sex, pesa, umbo no9/8/6/1, sura etc.
Now this is something..................kaunga, mapenzi ya pesa v/s mapenzi ya sex!! sikulijua hili........... yaani unampenda mtu kwa namna anavyo'kushughulisha' au una maana gani unaposema mapenzi ya sex.......je yanaapply pia kwa mwanamke? (Coz I know kwa mwanaume anawezaTAMANI -si kupenda- kwa ajili tu ya sex! kwamba umetokea kumkukurusha vema leo basi kesho akitamani kukukurushwa basi anachukua reference yako au?? (MTM has a very good theory on this, sijui yu wapi !?)
 
Thanks for this! tuangalie upande wa pili hiyo sura nzuri ikiondoka na pesa kuisha je furaha yenu bado itaendelea kuwepo au yale yaliyokuwa yanawavutia yakiisha na furaha huisha?, na mara nyingi upendo wa kweli huwa hausemwi kwa maneno ni matendo.
Ni vigumu sana kupima au kusema huu ni upendo wa Kweli nimashaona watu wanaopendana sana na wakiwa mbali wote wanaumia na kumiss wenza wao lakini wakiwa pamoja ugomvi na ulalamishi hauishi..., Kumbe hata kuishi kwa amani na upendo sio lazima kwamba hiyo ni true love...,

Arranged marriages za bibi zetu na babu zetu zilidumu sana ila hatuwezi kusema zile zilikuwa true love..., Labda hata kule kuridhika tu kunaweza kumfanya mtu apate furaha..,

na kama unampenda A je huwezi baadae ukampenda B..., na je mapenzi na A yalikuwa True Love au mapenzi na B ndio true Love..., and how can you say for sure kabla haujamuona C..?
 
Now this is something..................kaunga, mapenzi ya pesa v/s mapenzi ya sex!! sikulijua hili........... yaani unampenda mtu kwa namna anavyo'kushughulisha' au una maana gani unaposema mapenzi ya sex.......je yanaapply pia kwa mwanamke? (Coz I know kwa mwanaume anawezaTAMANI -si kupenda- kwa ajili tu ya sex! kwamba umetokea kumkukurusha vema leo basi kesho akitamani kukukurushwa basi anachukua reference yako au?? (MTM has a very good theory on this, sijui yu wapi !?)
Nadhani mapenzi ya Sex its just tamaa na sio mapenzi... Ingawa kuna stories nilishazisikia kwamba kuna kina dada wa pande fulani za Tanzania wale wanavyojua kushughulika na kulea..., siku ukionja asali lazima uchonge mzinga...., Lakini sina proof kwa hii issue its just hearsay
 
Now this is something..................kaunga, mapenzi ya pesa v/s mapenzi ya sex!! sikulijua hili........... yaani unampenda mtu kwa namna anavyo'kushughulisha' au una maana gani unaposema mapenzi ya sex.......je yanaapply pia kwa mwanamke? (Coz I know kwa mwanaume anawezaTAMANI -si kupenda- kwa ajili tu ya sex! kwamba umetokea kumkukurusha vema leo basi kesho akitamani kukukurushwa basi anachukua reference yako au?? (MTM has a very good theory on this, sijui yu wapi !?)

Mapenzi ya sex pia yapo. Binafsi yalinikuta a few years ago. Kuna mdada mmoja yaani yeye alidai alinipenda kutokana sura na jinsi nilivyokuwa namridhisha hadi anakinahi na akakiri na kuweka wazi kwa hilo kwamba hakuwa na sababu nyingine zaidi ya hiyo.
Kwa uzoefu wangu wa maisha na kukurukakara zoote nilizopitia, here's what I think: Mapenzi yanaweza kusababishwa na sababu mbalimbali lakini on top of that, the bottom line ni kuwa lazima pia as mwanaume uwe na fedha, hata kama si nyingi lakini at least uwe na uwezo wa kum-take care partner wako. Likikosekana hili basi hata kama mwanamke atasema atakupenda na ufukara wako ni just a matter of time iko siku atafikia ukomo na mapenzi kuanza kuchuja hadi kuisha kabisa. So hela ni muhimu
 
Binafsi, nafikiri upendo wa kweli upo only ikiwa sababu kuu inayomfanya person A ampende na avutiwe na person B ni personality yake B. Hakuna ubaya wo wote kama pesa au uzuri ni sifa zinazoongeza mvuto tu, ila zisiwe sifa zenye umuhimu kubwa kuliko personality. Yaani kama A angelazimishwa kuchagua baina ya B mwenyewe (akiwa maskini) au pesa yake tu kwa sababu fulani, ikiwa anampenda B kwa dhati na ukweli, atachagua B mwenyewe (licha ya umaskini wake) bila kusita. Golddiggers will not however, and that's what makes their behavior morally unacceptable - they demote a whole person to the level of a living wallet. Same can be said about "loving" someone purely for his/her beauty (in which case A would be reducing B to the level of a mere object of sensual pleasure), na sifa zote kama hizi. Inayomfanya mtu awe "a person" sio sura yake wala pesa yake, bali ni personality yake, sivyo?
 
Among "myths" men put into their head that i will not be loved couse i dont have serious or enough money! Ni mem fear that women Loves money Looks n so so wic is very wrong huwa mm nawambiaga naishi kulingana na Bajeti ya mkulo itakavyosomwa!
 
the bottom line ni kuwa lazima pia as mwanaume uwe na fedha, hata kama si nyingi lakini at least uwe na uwezo wa kum-take care partner wako. Likikosekana hili basi hata kama mwanamke atasema atakupenda na ufukara wako ni just a matter of time iko siku atafikia ukomo na mapenzi kuanza kuchuja hadi kuisha kabisa. So hela ni muhimu.
Basi, unafikiri vipi kuhusu "househusbands" wenye mke anayefanya kazi nje ya nyumba? Yes, they do exist. Hata kama una umri kuuubwa na uzoefu wa maisha, sifikiri unaweza kugeneralize experience yako like that. Kuna wanawake walio na msahara kubwa na hawahitaji kutegemea kipato cha mume wao to take care of themselves.
 
Hayo ni bongo tu, nchi za nje hana uwezo wa kuondoka na vitu hivyo. Heck zawadi tu anazokununulia haruhusiwi kuondoka navyo pia seuze vitu kama mlifunga ndoa.

Kama jamaa alikuwa na pesa akamuonyesha kumjali na bibie aka-fall kwa jamaa kutokana na anavyoonyeshwa maraha, ni sawa na yule alopenda mtu kwa kuwa anajua kusema maneno matamu. Akiamua kukutosa anakutosa tu. Wala mwanamme kuwa hana pesa haimaanishi kuwa ndo atakuwa nawe forever.

Pesa ni sawa na mengineyo tu.

Naam ndiyo bongo hiyo! Maana hata wewe ukampata mwenye mshiko mkubwa kuliko huyo uliyekuwa naye basi unaweza kuchanja mbuga na kumtosa ili ukawe na yule mwenye pochi kubwa/nene ili maraha yaongezeke. Hivyo kama wewe unaweza kumtosa bila kujali mapesa chungu nzima aliyotumia kwa kukupa maraha ya kila aina kwa nini na yeye asiwe tayari kubeba kila kilicho chake pale penzi linapochujuka? Ndio maana penzi la pesa likasemwa kuwa si penzi maana mguu nje mguu ndani. Pesa ikipungua basi na penzi nalo hakuna tena au akitokea mwenye pochi nene unamuacha jamaa kwenye mataa kama humjui vile! kisa nini kuna jamaa mwingine ana pesa nyingi zaidi na anahonga pesa ya uhakika zaidi! Hakuna penzi hapa ndio maana wengi wa namna hii wanaendelea kung'aa macho mtaani.
 
Basi, unafikiri vipi kuhusu "househusbands" wenye mke anayefanya kazi nje ya nyumba? Yes, they do exist. Hata kama una umri kuuubwa na uzoefu wa maisha, sifikiri unaweza kugeneralize experience yako like that. Kuna wanawake walio na msahara kubwa na hawahitaji kutegemea kipato cha mume wao to take care of themselves.

Nimekupata lakini kumbuka hata huyo mwanamke mwenye mkwanja sidhani kama nae ataendachukua kapuku broke-as.s man....labda kwaajili ya kujifurahisha tu nafsi yake lakini si kwa upendo wa dhati
 
....Aspirin kama mapenzi ni pesa basi napata wasiwasi hapo,
kwani bibi itakuwa kila amwonapo mwanaume mwenye pesa anachachawa lol..... ...'('si ndio ugonjwa wake huo'')

Yeah...atachachawa, lakini at least nina vijisenti ambavyo havimyimi atakacho na nitakachompa basi kwa kipindi hiki sina mashaka.... ila zikiniponyoka sitashangaa wenye nazo wakinipoka...... nyie watu achaneni na kitu PESA!
 
Mkuu ktk Mapenzi pesa huwa umuhimu wake, ubaya wa pesa ktk mapenzi huja pale pesa inapokua kipaumbele kikubwa cha mapenz! Mean mpenz wako pale anapogoma/anaposhindwa kukuonyesha/kukupa mapenzi yake ya dhati mpaka pale atakapopewa pesa. Ikifikia stage hii, mapenzi huwa machungu!
 
Among "myths" men put into their head that i will not be loved couse i dont have serious or enough money! Ni mem fear that women Loves money Looks n so so wic is very wrong huwa mm nawambiaga naishi kulingana na Bajeti ya mkulo itakavyosomwa!

At least umelisema hili ndugu yangu na ukichunguza wanaoamini kuwa wanapendwa kwa ajili ya pesa zao ni wanaume!! Mwanaume mwenye pesa akipendwa awezaamini kuwa anapendwa kwa ajili ya pesa zake lakini je mwanamke mwenye pesa akimpenda aso nazo?? naye atasema apendwa kwa pesa yake??.....................
 
Back
Top Bottom