Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Raha ya mapenzi kupendana, na kupendana kunahusu kupeana raha. Kupeana raha kunahusu pesa kwa kiwango kikubwa.
Refer uzi wa Mbu kuhusu mapumziko.
yes..hapo ndo raha ya mapenzi ilipo. Unaweza kupata raha bila ya kuwa na 'pesa'. Isipokuwa mleta mada alikuwa anajaribu kuamsha mjadala kama ni sahihi kuwaponda wale wanaoangukia kwenye mapenzi kwa misingi ya pesa, je ni sahihi kuwaponda??
Ila inaonesha pesa ni kivutio kama vile mtu anavyovutiwa na sura, umbo, tabia, n.k.. mchanganyiko ukiwa sahihi (kulingana na mtu binafsi) , hapo ndo kunapelekea 'mapenzi'>?????
Kuna wengine wanapata raha kwa kuona tu uzuri wa wapenzi wao, wengine raha kwa kupiga stori tu, ili mradi kila mtu ana ladha yake....kwa hiyo kupeana raha sio lazima kuwe na pesa kwa kiwango kikubwa