unajua VOR, you might be right with your observations,
lakini hebu turudi tujiulize tena, labda upendo ni nini na mapenzi ni nini,
yawezekana jamii inatoa definition tofauti na jinsi wengine wanavyochukulia,
Ukijaribu kuangalia kwa ukaribu zaidi unakuta tunalitizama zaidi neno upendo/mapenzi,
kwa kuangalia undani wa mtu, kwamba a true love comes from your heart ................
na sio possessions...........
Anyway, utasikia wengine wanasema, simpendi yule bwana, nimependa pesa zake tu kwani ananitimizia kila kitu,
sasa nadhani ni vema tukawa na one stand hapa, mapenzi ni nini, na upendo ni nini?