Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Heheheh...mwalimu hawezi kua na waajiri wawiwili!!!!:tongue:

Kakudanganya nani..?/ Si asubuhi anafundisha shuleni jioni anakuja kwangu kwenye twisheni na namlipa sasa sitakuwa mwajiri wa pili hapo/??
 
Ni combination ya mambo mengi sana. hebu jiulize, kuna couplesa zina pesa sana na bado hawakai, nyumba inawaka moto. Kuna couples ni masikini sana, na wanatembea nje kupata mahitaji ya kila siku. Hivyo, ni combinations ya pesa, mapenzi, maelewano, kusikilizan, kusaidiana, na mengine mengi.... hakuna jibu la moja kwa moja
 
Naomba kuuliza wanajamvi,katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako,nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu kwa muda mrefu.Wana JF naomba tusaidiane..
....Mh! Mbona kuna mtu humu aliwahi kudai shemeji yake alitelekeza mume na mtoto kwa sababu ya kibabu cha kizungu kilimhonga mihela na Range Rover??? Bila pesa mazee tusidanganyane mapenzi yatayumba tu....Usicheze na njaa!!
 
the only silaha hapo ni true love & care kwa umpendae, bila kusahau us women tunapenda kufanyiwa vitu vidogo vidogo na tukafall totally completely in love na aguy.......!
 
Kakudanganya nani..?/ Si asubuhi anafundisha shuleni jioni anakuja kwangu kwenye twisheni na namlipa sasa sitakuwa mwajiri wa pili hapo/??
Hehehe!Hutakua mwajiri anaefahamika kisheria maana hata mshahara utakua unatoka mfukoni mwako directly...kwahiyo itakua kibinafsi zaidi!
 
Kama watu wanapenda sababu ya Uzuri wa mtu, au Personality ya mtu, Kwanini mwingine asipende sababu ya pesa za mtu

Utasikia watu wanasema "thats not true love anampendea pesa zake".., au "Siku hizi hakuna mapenzi ni pesa tu"...., yeah, kama anampendea pesa zake whats wrong with that, je kuna utofauti wa wewe unayempendea sura yake...?

My Take on This ni kwamba kila mtu anazo priority zake na kama wapo wanaopenda zaidi pesa its okay na community isiwaangalie kama "Gold Diggers" kama wanampa mtu mwenye pesa furaha.., I think its a fair trade....

Money, Looks, Personality, Ucheshi, Powerfullness, they are all features and if they attract someone who are we to say that is true love or not....?
 
That,s not a true love, What if siku moja hizo pesa zikaisha?mapenzi yataendela kuwepo mimi sipendi mapenzi ya sababu........kwa sababu........siku sababu zikiisha na mapenzi huisha.
 
That,s not a true love, What if siku moja hizo pesa zikaisha?mapenzi yataendela kuwepo mimi sipendi mapenzi ya sababu........kwa sababu........siku sababu zikiisha na mapenzi huisha.
Nakubaliana na point yako lakini je kuna kitu ambacho hakiishi?, ukinipendea sura yangu nzuri siku nikipata ajali.., Je utaendelea kunipenda?
 
Rejea maneno yangu mapenzi ya kweli ni yapi?Moyo ukikupenda hata upate hiyo ajali unayosema sitaacha kukupenda Tumeumbwa tofauti mimi huwa naacha zile hisia zangu za ndani ziseme huwa sipendi hovyo hovyo labda kutamani.

Kwahiyo mapenzi ya kweli ni yapi?, personality ya mtu?, tabia ?......, lazima kuna kitu kinakuvutia kwa mtu na hicho kitu kinaweza kubadilika jambo ambalo haliwezi badilika ni PAST (yaani memories..)
 
Mapenzi ya kweli hayajengwi na material things,nidhahili kama kigezo cha kupenda ni pesa,figure siku pesa zikiisha,figure ikipotea kwa kuzaa etc upendo hautakuwepo tena.Minaamini upendo wa kweli na utakaodumu upo kwenye zaidi ya tangible or visible things.Kama mtu ni mcheshi,mkarimu,wise,anajua kubembeleza,mpole,hana hasira,anasamehe vitu hivi vitakuwepo tu siku zote akikonda,akinenepa,akiwa na hela,asipokuwa nazo etc kwa hiyo kama ulipendea hivyo basi nidhahili utaendelea kumpenda.
 
Nadhani ikija kwenye true love
wanaongelea mtu akupende kamaa ulivyo ..
Na apende vitu ambavyo ni permanent kwako
Kitu kama personality..

Ila sisi binadamu kama binadamu tutafuata
Vitu ambavyo ni vizuri kwetu na vitupendezavyo
....
Naongelea tunapenda external things
Kuliko kumwangalia mtu internally ..

Na true love na dhani ni ku combination ya hivyo viwili....
 
Mkuu ingawa ni vigumu kwa vitu kama ucheshi na ukarimu kubadilika lakini mtu anaweza akakumbwa na janga katika maisha likamfanya abadilike kabisa..., au mfano mtu akipooza na kupoteza sense zote nadhani hizo invisible things zote zitapotea au?? Na ninaweza nikasema kuna pesa ambazo kwa kweli ni vigumu kuisha mfano familia za kifalme..,
 
Nadhani ikija kwenye true love
wanaongelea mtu akupende kamaa ulivyo ..
Na apende vitu ambavyo ni permanent kwako
Kitu kama personality..

Ila sisi binadamu kama binadamu tutafuata
Vitu ambavyo ni vizuri kwetu na vitupendezavyo
....
Naongelea tunapenda external things
Kuliko kumwangalia mtu internally ..

Na true love na dhani ni ku combination ya hivyo viwili....

...hivi AD, kumbe true love ni mpaka uwe unampenda mtu internally lakini na pesa ziwepo pia?
vipi, kimoja wapo kisipokuwepo, basi na true love hakuna lol...?
 
Nadhani ikija kwenye true love
wanaongelea mtu akupende kamaa ulivyo ..
Na apende vitu ambavyo ni permanent kwako
Kitu kama personality..
True very True....., Lakini tukiongelea vitu ambavyo ni permanent kwako, nadhani loyal familiy mtu kama Prince William na Harry Wamezaliwa kwenye pesa na watakufa kwenye pesa.., I can argue that is permanent to them.... Lakini point yangu ni kwamba yule anayempenda mtu kwa sababu ana sura nzuri au ni mcheshi asimcheke yule anayempenda mtu sababu ana wallet kubwa..., sababu zote ni features za attraction ambazo zinawavutia watu tofauti....

Therefore community iache kuwaangalia watu hawa kama vile ni majambazi... au wezi au wanyonyaji..

BTW I owe you a Thanks and a Like hazionekani kwako....
 
Back
Top Bottom