Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Angekuwepo ningemuuliza...bahati mbaya nimebaki na kumbukumbu tu za yeye kua mwenye furaha muda wote bila kujua kwanini wakati mumewe hakua na pesa nyingi tofauti na mashemeji zake!!!

I c .....
 
Kaka mpendwa hizo raha za watu wasopesa zinaweza kupatikana kwa wale wenye pesa pia lakini kuna raha za wenye pesa, wasopesa hawana (au nakosea?)

Anae fall in love kwa channel ya pesa hana kosa, muhimu awe amekuwa in-love kweli tu na sio kuwa anapenda pesa peke yake bila ya mwenye pesa yule

ni kweli..

inategemeana na wewe unavyoitafsiri RAHA.

Kuna mwingine unaweza ukasema umpeleke Ngorongoro au Ngurdoto ukifikiri unampa raha,kumbe hata hajisikii. lakini ukimpeleka Kariakoo, basi atasimulia mtaa mzima..
Pesa inafanya kila kitu hilo halina ubishi, lakini linapokuja suala la RAHA, ni mtu binafsi ndo anaweza kujua. Huwezi kulinganisha anayelala KEMPSINK na yule GIRAFFE..kuna tofauti.

Ninachotaka kusema ni kuwa Pesa inaweza isikupe FURAHA .... ila inaweza kukupeleka kwenye FURAHA
 
Ni kweli mpendwa haijawahi kukutokea ukampenda mtu,lakini mtu mwingine akikuuliza umempendea nini huyo ukashindwa kumjibu,ukisikia amepata shida,anaumwa ,mmegombana unasononeka na kubeba mzigo wake kama wa kwako
.
na kibaya au kizuri katika vyote hata akukosee vipi huoni moyo wako ukimkataa au kumchukia.
bora wewe unayeongelea katika mtazamo wa kifamilia.

Nafikiri katika ule mchakato wa kuelekea kuishi pamoja, yaani kipindi cha kutongozana na kupeana mikakati.. hapo je, kama msichana akiamua kuangalia kigezo cha pesa alaumiwe,??

Mapenzi kwa ujumla wake hayaendeshwi na pesa peke yake, ni mchanganyiko wa mambo mengi sana.. Ila wengi tunafikiri pesa ni kivutio cha maisha bora.
Kumbuka pia pesa inaleta kiburi, dharau, majivuno, ubwana, ubinafsi. ( pia hata mtu mwenye sura nzuri anaweza kuwa na tabia hizi)...
 
Kwahiyo mapenzi ya kweli ni yapi?, personality ya mtu?, tabia ?......, lazima kuna kitu kinakuvutia kwa mtu na hicho kitu kinaweza kubadilika jambo ambalo haliwezi badilika ni PAST (yaani memories..)

Mapenzi ya kweli ni kupeana chakula kwa dhati na kwa ridhaa na kumfanya mwenzio aongeze nguvu kwa kumtunza ili shughuli iendelee kama kawaida
 
I can argue mapenzi ya sura na uzuri yanakuwa mabaya pale ikitokea ajali na sura kuharibika pale unapomuacha mtu sababu sio mzuri tena

Hivi VOR, kunaweza kukawa na mapenzi matamu baina ya watu ambao unakuta mwanaume,
ana pesa nzuri tu ya kutakata lakini akawa ni ******* (jongoo wake hapandi mtungi)?
 
Ndo hapa tunapokosea mtu kapenda pesa zako ataendelea kuwepo na kukuonyesha upendo sababu tu unajaza mapengo ya ndoto alizokuwa anaziota kwenye maisha yake ...........na yeye kwa mtazamo wake anaweza fikiri anakupenda sababu tu anapokea material things kama pesa ,gari nzuri,nyumba nzuri nk.

lakini ukweli ni huu akitokea yule mwenyewe au vitu vikageuka utaziona rangi zake au kwa kukuheshimu sana atakuvumilia kwa kukumbuka fadhila ulizomtendea.

Kaka mpendwa hizo raha za watu wasopesa zinaweza kupatikana kwa wale wenye pesa pia lakini kuna raha za wenye pesa, wasopesa hawana (au nakosea?)

Anae fall in love kwa channel ya pesa hana kosa, muhimu awe amekuwa in-love kweli tu na sio kuwa anapenda pesa peke yake bila ya mwenye pesa yule
 
Hivi VOR, kunaweza kukawa na mapenzi matamu baina ya watu ambao unakuta mwanaume,
ana pesa nzuri tu ya kutakata lakini akawa ni ******* (jongoo wake hapandi mtungi)?

What if Hana pesa lakini akawa na tatizo Hilo kutakuwa na mapenzi?
 
mmmmmh!!! hapa mtajadili mpaka kiama ila ukweli unabaki hata kama majamboz mazuri namna gani bila pesa inachosha... Khaaaaa!!!
 
labda mie malezi yamenijenga kivingine.................. halafu iyo pesa unaongelea ya upande mmoja au hata ya kwako inaweza kuweka penzi na bado ukaendelea kumjali bila kumchoka?.

mmmmmh!!! hapa mtajadili mpaka kiama ila ukweli unabaki hata kama majamboz mazuri namna gani bila pesa inachosha... Khaaaaa!!!
 
Ikitokea haitakua kwasababu ni “successful“ kama alivyoiweka boss ila kwasababu i like/love him as a person.Ngoja nikupe mfano mzuri....!
Love him as a person... What is That...????, (Personality, tabia, sura au...)
 
labda mie malezi yamenijenga kivingine.................. halafu iyo pesa unaongelea ya upande mmoja au hata ya kwako inaweza kuweka penzi na bado ukaendelea kumjali bila kumchoka?.

aaaaaaaaiiiiiiiiiii!!! mie naongelea pesa ya mwanaume.... mie ninazo za kwangu....... nani anataka mwanaume wa kumtegemea..... Khaaa!!
 
huu ubinafsi sasa,Kwanini unaona ni haki yako pesa ya mwanaume itengeneza penzi lako na siyo mwanaume kutengeza penzi kupitia pesa yako.

he he heeeeeeeeeee!!! sioo ubinafsi ndio ukweliiiii wa mambooooooooooo hata hivyoooo I love me and me only!!!!!!!!!!
 
mapenzi ya ukweli yanatoka moyoni na wala si pesa kama wangi wenu mnavyojinganya!
 
Kila la heri mi nachohitaji ni kutoa na kupokea penzi la kweli na si pesa ya mwanaume awaye yoyote maana hata kidogo nilichonacho tutakula pamoja kwa upendo.

he he heeeeeeeeeee!!! sioo ubinafsi ndio ukweliiiii wa mambooooooooooo hata hivyoooo I love me and me only!!!!!!!!!!
 
Umeshuhudia dame akinyang'anywa kila kitu ndani ya nyumba na yule mwenye pochi kwa kuwa penzi limechujuka? Usipime aibu yake! unaweza kutamani kujiua! maana huna pakuuweka uso wako kwa aibu tele na jinsi ulivyoshuka daraja toka kule juu ulikokuwa kwa kuwa na kila kitu ndani ya nyumba sasa umeachwa mtupu! hata kiti cha kukalia huna! Penzi la pesa si penzi! mara nyingi huishia pabaya
Penzi gani ambalo huishia pazuri...? Mwisho ni Mwisho tu..., iwe umepigwa kibuti sababu ya yeye kupata mtu mtanashati kukuzidi wewe au zile tabia alizodhani mwanzo unazo kumbe hauna.., Kibuti ni Kibuti tu kiwe cha pesa au sio cha pesa
 
'Not feeling good' should also be part of love...Mie binafsi ninapenda kuupima upendo wa kweli pale mambo magumu yanapotokea. yaani ninapomhitaji mwenzangu asimame na mimi,... and vice versa. Inapokuwa sio hivyo basi ninabaki na question mark.

Kwa sababu inawezekana pesa zimemvutia kwangu,lakini je akinizidi kupata pesa( awe anatengeneza fedha kuliko mimi) hapo scenario itakuwaje?...

Je na wanaume wanaweza kuitwa gold diggers?? - ni kweli watakuwa na mapenzi ya kweli kwa kufuata pesa ya mwanamke????
Yeah ni kweli lakini huenda mtu akawa anakuonea huruma na anaona hawezi akakuacha sababu you are his/her responsibility..., (mfano ukiwa paralyzed na kuwa a potato yaani huwezi kufanya chochote hapo ni upendo unaomweka mpenzi wako abakie au ni huruma na responsibility na utu..., na sitashangaa kama huyu mtu atakuwa anakuombea kwa Mungu akupumsishe (eti usiteseke, kumbe huenda yeye ndio amechoka na responsibility)

Ofcourse wanaume wanaweza wakawa Gold Diggers... ukienda Mombasa au Gambia kuna Beach Boys ambao wanawatega wazee ili wawapeleke nje ya nchi..... (ila hawa tunawaita matapeli..., tofauti na wale wanaokuwa attracted sababu ya pesa)
 
Back
Top Bottom