Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha utunduGeniveros nambie best
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha utunduGeniveros nambie best
Hata kama mnazoeana kutaja hivyo sio vizuri kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha utundu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] amu mtundu huyuuHata kama mnazoeana kutaja hivyo sio vizuri kabisa.
Mimi nilivyojua nilikuambia ''kumbe ndio wewe" halafu nikakausha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unahitaji hekima kuelewa mandhari. Kama jamaa amefika unaweza kushona mapenzi kutokana na hali halisi.WanAwake bhana...thread nyingine utaona wanashabikia mwanaume asie na pesa wa nini? Thread ingine utasikia wanashabikia mapenzi bila pesa hayawezekani....thread ingine wanashabikia mwanaume mwenye pesa hafai atakunyanyasa! Hapa leo habari ya mjini ni MAPENZI YA KWELI HAYAZINGATII PESA!
Ubabe ubabeni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dada umeongea vyema sana!
Lakini siku hizi wanaume wengi ni watafutaji sio kama tulikotoka, wengi wao wana nyumba, biashara, magari, miradi na watoto pia.
Vile vile wadada wengi wana maendeleo yao binafsi!
Hawa wakikutana huwa ni ubabe ubabeni!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] amu mtundu huyuu
Hawa wote wamezaliwa mkoani Dar ndiyo wanaanza maisha. Kuna aliyetangulia ndiyo alimvuta mwenzake. Hapo walipofika ndiyo ahueni na bado nyumbani wanategemewa.Dada umeongea vyema sana!
Lakini siku hizi wanaume wengi ni watafutaji sio kama tulikotoka, wengi wao wana nyumba, biashara, magari, miradi na watoto pia.
Vile vile wadada wengi wana maendeleo yao binafsi!
Hawa wakikutana huwa ni ubabe ubabeni!!
UmeonaeeeeUbabe ubabeni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
HahahaHawa wote wamezaliwa mkoani Dar ndiyo wanaanza maisha. Kuna aliyetangulia ndiyo alimvuta mwenzake. Hapo walipofika ndiyo ahueni na bado nyumbani wanategemewa.
Una talent ya uandishi,nilijua ni story nilikuwa nakaa vizur niianze kwa umakini sema imekuwa fupiKuna saloon ninakwenda kusukwa nywele. Mmoja wa Wasusi wa pale amenizoea, alinipa namba yake akaniambia kama unataka kusuka nipigie simu tupange. Nilimpigia simu na tulipanga mimi niende kwake.
Anaishi kwenye chumba kimoja alichokipanga vizuri sana. Aliniambia anaishi na mume wake ambae ni kondakta mjini. Malengo yao ni mume kupata leseni ya udereva.
Tulipiga story za hapa na pale. Mume alirudi kutoka kazini. Bibi yule aliniomba radhi, alikwenda kumtengea mumewe chakula. Kwa heshima zote mume alinawishwa mikono baada ya ugali kuiva.
Baada ya kula mume alimsaidia mkewe kupanga nywele nilizosukwa. Tulipiga stori wakanieleza changamoto walizopitia kufikia pale. Niliwapa moyo kuwa ni wachache sana wanazaliwa na kukuta mali nyumbani wote tuna pigana.
Kwa kweli nilijisemea moyoni. Wawili hawa wanaishi kwa amani kuliko anaendesha vogue lakini amani nyumbani hakuna.
usiwachawie aiseeSubiri Mwanaume akipata helaaa...........
tumegee hiyo story kiundani kidogo tafadhaliNi mara chache sana utajiri wa Mali ukaendana na amani moyoni
At hao wameshikana kujikomboa kiuchumi lakini usishangae siku wakifanikiwa mambo yakawa tofauti na mwisho wa siku kutengana kabisa
Binafsi nliwai kushudia jamaa na mkewe walikua na maisha duni sana wakaanza kwa kutembeza nguo za mtumba mtaan na jion wanakutana kuunganisha kilichopatikana na walikua wanapendana kiasi kwamba kila mtu aliwaonea wivu
Kidogo maisha yalianza kukubali wakanunua kiwanja na nyumba wakajenga
Kabla hawajahamia kwao moto ukawaka wakatengana tena kwa matusi mazito mke kamsweka jamaa lupango badae jamaa katoka na kutengana na mkewe kisheria
Umasikini hua na amani sana na ndio mana uwez kuta wanandoa waishio vijijin kwenye hali duni wakiachana ovyo kama mijini
Mwaga mboga namwaga ugali na maji ya kunawaUmeonaeeee
Umenikuta na vitu vyangu chukua chako ondoka!!!
Bahati mbaya hekima hio wanawake wa sasa hawana.Unahitaji hekima kuelewa mandhari. Kama jamaa amefika unaweza kushona mapenzi kutokana na hali halisi.
walai mkabwela tupendwe na nani sieMimi kwa kweli mambo ya kumvumilia mwanaume nlishaacha,umenikuta na mali pesa njoo na zako uniongezee,ila zangu huzigusi,huna pesa tambaa tafuta wanaoweza kukuvumilia mambo ya kumvumilia halafu akipata anakuona hafai sitaki kabisa.