Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,859
- 7,052
Hii kauli naifanyia kazi maaa huwa nasikia sikia tu
Brother unamaanisha au utani????
Hii kauli naifanyia kazi maaa huwa nasikia sikia tu
Hii kauli naifanyia kazi maaa huwa nasikia sikia tu
Sifanyi utani, namaanisha naifanyia uchunguzi mimi nikiwa sample space(specimen) namba moja.Brother unamaanisha au utani????
So unamaanisha huyo mwanaume angekuwa na pesa aman kwa asilimia kubwa ingetoweka....Kuna saloon ninakwenda kusukwa nywele. Mmoja wa Wasusi wa pale amenizoea, alinipa namba yake akaniambia kama unataka kusuka nipigie simu tupange. Nilimpigia simu na tulipanga mimi niende kwake.
Anaishi kwenye chumba kimoja alichokipanga vizuri sana. Aliniambia anaishi na mume wake ambae ni kondakta mjini. Malengo yao ni mume kupata leseni ya udereva.
Tulipiga story za hapa na pale. Mume alirudi kutoka kazini. Bibi yule aliniomba radhi, alikwenda kumtengea mumewe chakula. Kwa heshima zote mume alinawishwa mikono baada ya ugali kuiva.
Baada ya kula mume alimsaidia mkewe kupanga nywele nilizosukwa. Tulipiga stori wakanieleza changamoto walizopitia kufikia pale. Niliwapa moyo kuwa ni wachache sana wanazaliwa na kukuta mali nyumbani wote tuna pigana.
Kwa kweli nilijisemea moyoni. Wawili hawa wanaishi kwa amani kuliko anaendesha vogue lakini amani nyumbani hakuna.
Wakati unaenjoy mwenzio anakutumiaaaa unakuja kushtuka huna wa kukaa naye unazagaa makongamano hadi wanakupa kazi ya kuandaa somoEeeh Kweli kabisa bora kuwa na mume wa mtu tu uinjoy Maisha,kuliko kuwa na mwanaume ambaye Hana hela anajifanya anakupenda akizipata anakukimbia [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amuuu
Ndivyo ilivyoYeah, inawezekana mwanaume anamvumilia huyo mwanamke kwa sababu hana hela, akipata hela anaenda kutafuta mkali zaidi.
Hii kauli naifanyia kazi maaa huwa nasikia sikia tu
Nice script for Bongo Movie.....Mapenzi ya kweli yapo nakumbuka nilipata mtoto mboga 7 kuna site moja mikocheni nilienda kupiga kibarua.sasa mtoto wa boss nikapiga saund kama mzaha akakubali kutimba jpl moja uswahilini, nikijua hawezi kuja na sijajiandaa mara simu yuko kitaa asee tumbo liliuma, godolo chini sina kitanda mkeka chini likafata godolo, isee ndoo mbili tatu na kiredio, nikaenda kumchukua kitaa mimacho kodo mtaamzima watu wananitizama ninavyo katiza nae, mpunga nikawa sina akatoa hela ya viepe nikaenda kuchukua fasta na barafu maji baridi kwenye jug, kilicho fuata sasa mzee baba ilikua shoo ya kusimamia kucha. Mtoto kalala usingizi mpaka nikasema kavuta nini? Itaendelea
Ushaambiwa hata wenyewe hawajui wanataka niniWanAwake bhana...thread nyingine utaona wanashabikia mwanaume asie na pesa wa nini? Thread ingine utasikia wanashabikia mapenzi bila pesa hayawezekani....thread ingine wanashabikia mwanaume mwenye pesa hafai atakunyanyasa! Hapa leo habari ya mjini ni MAPENZI YA KWELI HAYAZINGATII PESA!
Sifanyi utani, namaanisha naifanyia uchunguzi mimi nikiwa sample space(specimen) namba moja.
Hii ni kutokana uzoefu wangu kulingana na hii mada na nikapata jibu langu(lipo mfukoni/moyoni) ili nije nione kama majibu yatawiana au la.
HahahahaaaaaHahaha sawa ndugu yangu, kila la kheri
Haha haaNice script for Bongo Movie.....