mangili massawe
Member
- May 15, 2018
- 33
- 16
Siyo mwanaume ht huyo mwanamke akipata ni balaa tupuSubiri Mwanaume akipata helaaa...........
Siyo mwanaume ht huyo mwanamke akipata ni balaa tupuSubiri Mwanaume akipata helaaa...........
Kama mke amesharidhika na ulivyo, kwanini mwanamme apigane kufa tena.Hapo ukweli ni 30% na ukiona ivyo ujue mwanaume anapigana kufa ili kumridhisha mwanamke ili apate heshima ya mke
kweli... kuna watu wanajaribu kupata kitu original ila inawatokea puani kila attempt!Kwa miaka ya leo hii inakaa kama myth vile
haijalishi, yeyote mwenye chembe ya dharau anaweza geuka sio lazima awe mwanaume, hata wanawake!Subiri Mwanaume akipata helaaa...........
nimependa hii 😎Kama mke amesharidhika na ulivyo, kwanini mwanamme apigane kufa tena.
Tukubali ukweli wanao anza maisha pamoja wanavumiliana na kufika mbali, tofauti na yule anayekuta kila kitu kiko ndani, manyanyaso kitu kibaya sana.
ni bahati mbaya pale kijana wa familia bora akipenda tandale/mbagala ama kijana maskini jeuri akipenda masaki/mbezi beach... ila kwa hii hadithi yako, hao wapo vizuri! kitu original hichi. namkumbuka mama Samia alipo ongelea jinsi anavyoishi kwake. Nina muheshimu sana na nimevua nyota zangu za u-meja nimemuwekea yeye pembeni 🙂 mwanamama/mwanamke wakipekee sana. katika shida na raha na katika cheo pia 😎Kuna saloon ninakwenda kusukwa nywele. Mmoja wa Wasusi wa pale amenizoea, alinipa namba yake akaniambia kama unataka kusuka nipigie simu tupange. Nilimpigia simu na tulipanga mimi niende kwake.
Anaishi kwenye chumba kimoja alichokipanga vizuri sana. Aliniambia anaishi na mume wake ambae ni kondakta mjini. Malengo yao ni mume kupata leseni ya udereva.
Tulipiga story za hapa na pale. Mume alirudi kutoka kazini. Bibi yule aliniomba radhi, alikwenda kumtengea mumewe chakula. Kwa heshima zote mume alinawishwa mikono baada ya ugali kuiva.
Baada ya kula mume alimsaidia mkewe kupanga nywele nilizosukwa. Tulipiga stori wakanieleza changamoto walizopitia kufikia pale. Niliwapa moyo kuwa ni wachache sana wanazaliwa na kukuta mali nyumbani wote tuna pigana.
Kwa kweli nilijisemea moyoni. Wawili hawa wanaishi kwa amani kuliko anaendesha vogue lakini amani nyumbani hakuna.
Jirani hunitafuti sababu sina pesa auKwa nn wewe usimtafute?
Yawezekana na yeye anajua umemnunia kisa amekuomba hela.
Hee huo ujirani veeeepe.!!!Jirani hunitafuti sababu sina pesa au
Kumbe hata huutambui tena?Hee huo ujirani veeeepe.!!!
Mmmmhhh!! Utakuwa umechanganya mafolder.Kumbe hata huutambui tena?
Wewe wewee wa Sumbai, kitendo cha kusogea muji ule wajifanya eti hunifahamu? Makubwa!!Mmmmhhh!! Utakuwa umechanganya mafolder.
Unamaanisha jirani na Mimi C B??? Mimi Mimi?
Hee!Wewe wewee wa Sumbai, kitendo cha kusogea muji ule wajifanya eti hunifahamu? Makubwa!!
Haya bhana, kokooHee!
hamna kanunua na mm nimekaa kimya simtafuti hataKwa nn wewe usimtafute?
Yawezekana na yeye anajua umemnunia kisa amekuomba hela.