Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hapana mkuu

huyo alikua hakupendi ila alikua kimaslahi so alivyokuona huna kitu kaona amecheza karata sio

So alikua hana cha kusubiri zaidi ya kukuacha tu

Mapenzi sio pesa mkuu... ila pesa inaongeza nakshi na furaha ya mapenzi ila bila pesa mapenzi yanaweza kuwepo tena safi bila matatizo ni jinsi tu mtakavyoelewana wawili

Subiri ukipendwa kwa dhati utajua
uko sahihi mkuu but ni wachache sana wenye hiyo tabia.
 
Truth is si kwamba huna pesa. The truth ni kwamba gf yuko kimaslahi.

Yes ni habari ambayo hutaki kuisikia lakin ndio ukweli.
Kama ukimwambia mpenz wako kuwa huna pesa, akasunya , akanunua mwezi mzima, akadharau, hata muda mwingine kukuyamkia maneno machafu. Kaka hapo huna mchumba, una mjasiria mali
 
Now days ni pesa!!
Ndio maana mm nimechagua kua na vijisenti kwa sasa. Mambo mengine baaadae eh!!
 
Punguza kujisikia, ungemtafta ukajua sababu ilomfanya akaww hivo, usiishie tu conclude pengine na yeye anajisikia vibaya moyoni
 
mabinti hawaitaj saana pesa ila wanahitaji ujue namna ya kucheza na akili zao na hapo ndipo utawafurahia vzur bila kutoa ht senti [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom