Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

[emoji3][emoji3][emoji3] honey..don't make me lough pulizzzz
Serious yna4 you makes my heart sing the right tunes
IMG_20180423_223619.jpg

[emoji8]
 
Nakataa hii mada kata kata.

Mwanamke kukuomba Pesa au Kutokuomba Pesa Haiwez kutumika km kipimo cha upendo wake kwako.

Alafu, how do you feel unapomuona mwanamke wako kajupamba na akapambika,ananukia vzuri, uso unang'aa, mavazi yamemvaa vzuri ,kiasi kwamba mnapita mbele za watu unajisikia raha .... Unapewa sifa "Aisee unajua kutunza" ... Kwaiyo unataka sifa zisizokua zako?? .

Mimi nasema ivi MWANAMKE HATOKUOMBA PESA IKIWA MWANAMME ANAJUA MAJUKUMU YAKE NIYAPI KUMUELEKEA MWANAMKE WAKE,,kinyume nahapo mwanamke atakuomba Pesa ,nabado atakua na mapenzi ya dhati kwako.

Wanaume wengi tunajisahau ,nakutaka vitu vinyonge ,vilivyokufa , matokeo yake unapoombwa Pesa unahisi hakupendi, sasa basi ikiwa hupendi kutoa pesa ,MPE HUDUMA,MPE MATUMIZI YAKE .

Wanawake wengine wanaakil sana, anakuomba pesa,si kwasababh hakupendi bali kwa sababu anataka kuwafanya wanawake wenzake wamuonee wivu yakwamba kua naww hajakosea .

niseme ikiwa unauwezo wakutoa toaa, ukiwa maisha bado hayajakaa sawa toa ktk uwezo wako ,ukiwa maisha yaan hayaekeweki kabisaaaaaaaaaaaaaa Naiman hata yeye atachukia siku ukimpa hela. ila haingii akilin Uko vzuri kiasi chake alafu mwanamke wako unashindwa hata kumpa hela ya saloon japo apendeze mara moja moja.


Tofautisheni Mizinga naHuduma.

Mizinga wanapiga Mademu.....huduma anapewa Mwanamke .

Binafsi napenda kumuona mwanamke kapendeza, ananukia vzuri, nakatika hayo yote napenda kua sehemu yake .................... Sema bado nazichanga[emoji23]

Narejea ,Kutoa pesa,au kua bahili sio kipimo cha mapenzi TENAAAA , Pesa?? Nikiungo muhimu sana ktk mahusiano.
Like yangu inauhalali kabisa kwenye andiko lako
 
hili somo halitakaa kueleweka mpaka mwenye dunia yake atakaporudi
 
Juna saloon ninakwenda kusukwa nywele. Mmoja wa Wasusi wa pale amenizoea, alinipa namba yake akaniambia kama unataka kusuka nipigie simu tupange. Nilimpigia simu na tulipanga mimi niende kwake.

Anaishi kwenye chumba kimoja alichokipanga vizuri sana. Aliniambua anaishi na mume wake ambae ni kondakta mjini. Malengo yao ni mume kupata leseni ya udereva.

Tulipiga story za hapa na pale. Mine akirudi kutoka kazini. Bibi yule aliniomba radhi, alikwenda kumtengea munewe chakula. Kwa heshima zote mune alinawishwa mikono baada ya ugali kuiva.

Baada ya kula mume alimsaidia mkewe kupanga nywele nilizosukwa. Tulipiga stori wakanieleza changamoto walizopitia kufikia pale. Niliwapa moyo kuwa ni wachache sana wanazaliwa na kukuta mali nyumbani wote tuna pigana.

Kwa kweli nilijisemea moyoni. Wawili hawa wanaishi kwa amani kuliko anaendesha vogue lakini amani nyumbani hakuna.
Subiri Mwanaume akipata helaaa...........
 
Wakipata pesa kuna kimoja kitatokea kat ya mawil
AMA furaha na aman ikaongezeka ndan coz watakuwa na maisha yeny uhakika wa huduma muhim
AU ndoa ikaingiwa na migogoro baada ya mmoja wao kuanza kutumia pesa kwa mambo mengine ambayo hayakuwa kweny malengo yao km wanandoa
 
Wakipata pesa kuna kimoja kitatokea kat ya mawil
AMA furaha na aman ikaongezeka ndan coz watakuwa na maisha yeny uhakika wa huduma muhim
AU ndoa ikaingiwa na migogoro baada ya mmoja wao kuanza kutumia pesa kwa mambo mengine ambayo hayakuwa kweny malengo yao km wanandoa
Mke kama huyu ukimuacha kwa visa vyako laana itakupata.
 
Sky Eclat hapo kuna upendo wa kweli sio wa kuigiza wenye tamaa na vitisho. wengi wanashindwa, wanafikiri wana nuksi, wana laana, hawapendwi lahasha akili zao ndio mbaya sana ila sio siri wengine wanalaana ila hawajui kama wana laana, akikutana na mwanaume anajua huyu anaweza akanioa ah haipiti siku jama anakimbia sasa huishia kusema kuwa wanaume wote wako sawa ni wababaishaji ni waongo sasa laana zako mi nizipeleke wapi ( kuna jinsi ya ku cross check kama mtu ana laana ni rahisi sana tu unafanya hivi......), mwanamke anataka kuolewa anapanga aina ya uwezo wa mwanaume anaye mtaka kisa eti anataka asilete aibu nyumbani kwao na kwa ndugu zake. msimamo wa mtu ni kutafuta maisha yeye na mumewe hata kam ni from the ground or scratch that's life. wengine wameshaanza kuzeheka wanabaki wanashusha umri wa kuzaliwa kisa kuchagua ila time will tell wewe una umri gani.

Kumjua mwanamke ni mkubwa au mdogo muangalie vidole vya miguuni kwa juu kuna sign utaziona na utajua rika lake nimeziweka kwenye mabano maana wengine watakuwa wanaficha ila kila mtu ajue hawezi kuficha umri, acheni kina dada mnachagua sana unataka mwanaume awe na uwezo mkubwa kifedha eti awe ana kazi yake nzuri ndio atanioa lol kwani kuoa ni lazima, mbona watu hawaoi na wanaishi vizuri na maisha yao tu au wanaishi kwa kipato kidogo na maisha yanaenda tu, kama unataka mwenye uwezo, mwenye pesa basi tafuta kwanza wewe zakwako halafu umtafute na mwenye nazo. SIKU HIZI NASIKIA MNAUA WANAUME ILI MBAKI MNAFAIDI MALI sijui ni kweli.
 
Back
Top Bottom