harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
Ni mara chache sana utajiri wa Mali ukaendana na amani moyoni
At hao wameshikana kujikomboa kiuchumi lakini usishangae siku wakifanikiwa mambo yakawa tofauti na mwisho wa siku kutengana kabisa
Binafsi nliwai kushudia jamaa na mkewe walikua na maisha duni sana wakaanza kwa kutembeza nguo za mtumba mtaan na jion wanakutana kuunganisha kilichopatikana na walikua wanapendana kiasi kwamba kila mtu aliwaonea wivu
Kidogo maisha yalianza kukubali wakanunua kiwanja na nyumba wakajenga
Kabla hawajahamia kwao moto ukawaka wakatengana tena kwa matusi mazito mke kamsweka jamaa lupango badae jamaa katoka na kutengana na mkewe kisheria
Umasikini hua na amani sana na ndio mana uwez kuta wanandoa waishio vijijin kwenye hali duni wakiachana ovyo kama mijini