Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ndio maana nikasema ilikuwa ujanani!nadhani akili za ujana huzijui??au we umetoka utotoni direct kwenye uzee???!!!afu unajiita binti wakati we ajuza una vitukuu
Hahah!,umetisha mkuu.
 
Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.

Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!

Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
Hivi kwani nyinyi hamuwezi kujihudumia paka msaidiwe!??? Nafikiri mnatakiwa mjihudumie wenyewe. Pesa ya mwanaune iwe kama kitu cha ziada.
 
Wengi hawatambui hilo mkuu,wanaingia kwenye mahusiano ili walipwe.
 
Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!

Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.

Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna

Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..

Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
hahahhahahaaaaa umemwaga radhi leo.....kelele hutaki sio.....
 
Kwani hatujihudumii?!!
Nimetoka mbavuni kwako!kudeka lazima
Haujakuwa ubavu bado (ndoa) so kwa vile bado ni lazima ujipange kujihudumia. Pesa ya mwanaume iwe kama ni hiari tuu ziada.

Yan pesa ndio kudeka??? Dah
 
Mimi sijasema Mwanaume asimhudumie mwanamke,hoja yangu imejikita katika tabia ya wanawake kupenda kuomba omba pesa kupita kiasi,mwanamke anaekupenda anapata wapi ujasiri wa kuomba pesa mara kwa mara?ukiona Hivyo ujue huyo Mwanamke ni chuma ulete,ila mwanaume nae anatakiwa ajiongezee kumhudumia mpenzi pale inapobidi bila kuombwa pesa.
[emoji1]
 
Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!

Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.

Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna

Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..

Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unanidai mishkaki yako nitafute
 
hahahhahahaaaaa umemwaga radhi leo.....kelele hutaki sio.....
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] walalamishi kweli yaani!vijana washazoea wanafunzi underage!
 
Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!

Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.

Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna

Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..

Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umeongea hadi nimeskia raha kukusoma natamani uendeleee tuu
 
wengi wao ni wavulana,,, sie wanaume walaa......mwanaume lazima uhonge haswaaaa, na umhudumie mkeo
 
Back
Top Bottom