Nakataa hii mada kata kata.
Mwanamke kukuomba Pesa au Kutokuomba Pesa Haiwez kutumika km kipimo cha upendo wake kwako.
Alafu, how do you feel unapomuona mwanamke wako kajupamba na akapambika,ananukia vzuri, uso unang'aa, mavazi yamemvaa vzuri ,kiasi kwamba mnapita mbele za watu unajisikia raha .... Unapewa sifa "Aisee unajua kutunza" ... Kwaiyo unataka sifa zisizokua zako?? .
Mimi nasema ivi MWANAMKE HATOKUOMBA PESA IKIWA MWANAMME ANAJUA MAJUKUMU YAKE NIYAPI KUMUELEKEA MWANAMKE WAKE,,kinyume nahapo mwanamke atakuomba Pesa ,nabado atakua na mapenzi ya dhati kwako.
Wanaume wengi tunajisahau ,nakutaka vitu vinyonge ,vilivyokufa , matokeo yake unapoombwa Pesa unahisi hakupendi, sasa basi ikiwa hupendi kutoa pesa ,MPE HUDUMA,MPE MATUMIZI YAKE .
Wanawake wengine wanaakil sana, anakuomba pesa,si kwasababh hakupendi bali kwa sababu anataka kuwafanya wanawake wenzake wamuonee wivu yakwamba kua naww hajakosea .
niseme ikiwa unauwezo wakutoa toaa, ukiwa maisha bado hayajakaa sawa toa ktk uwezo wako ,ukiwa maisha yaan hayaekeweki kabisaaaaaaaaaaaaaa Naiman hata yeye atachukia siku ukimpa hela. ila haingii akilin Uko vzuri kiasi chake alafu mwanamke wako unashindwa hata kumpa hela ya saloon japo apendeze mara moja moja.
Tofautisheni Mizinga naHuduma.
Mizinga wanapiga Mademu.....huduma anapewa Mwanamke .
Binafsi napenda kumuona mwanamke kapendeza, ananukia vzuri, nakatika hayo yote napenda kua sehemu yake .................... Sema bado nazichanga[emoji23]
Narejea ,Kutoa pesa,au kua bahili sio kipimo cha mapenzi TENAAAA , Pesa?? Nikiungo muhimu sana ktk mahusiano.