Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,175
HallelujahNakusalimu katika jina LA bwana
HallelujahNakusalimu katika jina LA bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingoje nishindwe mwanaume wa kweli anajiongeza tu.
Ni aibu sana mwanaume kusifia kuhongwa.Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.
Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!
Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
Una maneno mazuri lakini hujaoa. Oa kwanza u-practice haya maneno yako.Nakataa hii mada kata kata.
Mwanamke kukuomba Pesa au Kutokuomba Pesa Haiwez kutumika km kipimo cha upendo wake kwako.
Alafu, how do you feel unapomuona mwanamke wako kajupamba na akapambika,ananukia vzuri, uso unang'aa, mavazi yamemvaa vzuri ,kiasi kwamba mnapita mbele za watu unajisikia raha .... Unapewa sifa "Aisee unajua kutunza" ... Kwaiyo unataka sifa zisizokua zako?? .
Mimi nasema ivi MWANAMKE HATOKUOMBA PESA IKIWA MWANAMME ANAJUA MAJUKUMU YAKE NIYAPI KUMUELEKEA MWANAMKE WAKE,,kinyume nahapo mwanamke atakuomba Pesa ,nabado atakua na mapenzi ya dhati kwako.
Wanaume wengi tunajisahau ,nakutaka vitu vinyonge ,vilivyokufa , matokeo yake unapoombwa Pesa unahisi hakupendi, sasa basi ikiwa hupendi kutoa pesa ,MPE HUDUMA,MPE MATUMIZI YAKE .
Wanawake wengine wanaakil sana, anakuomba pesa,si kwasababh hakupendi bali kwa sababu anataka kuwafanya wanawake wenzake wamuonee wivu yakwamba kua naww hajakosea .
niseme ikiwa unauwezo wakutoa toaa, ukiwa maisha bado hayajakaa sawa toa ktk uwezo wako ,ukiwa maisha yaan hayaekeweki kabisaaaaaaaaaaaaaa Naiman hata yeye atachukia siku ukimpa hela. ila haingii akilin Uko vzuri kiasi chake alafu mwanamke wako unashindwa hata kumpa hela ya saloon japo apendeze mara moja moja.
Tofautisheni Mizinga naHuduma.
Mizinga wanapiga Mademu.....huduma anapewa Mwanamke .
Binafsi napenda kumuona mwanamke kapendeza, ananukia vzuri, nakatika hayo yote napenda kua sehemu yake .................... Sema bado nazichanga[emoji23]
Narejea ,Kutoa pesa,au kua bahili sio kipimo cha mapenzi TENAAAA , Pesa?? Nikiungo muhimu sana ktk mahusiano.
Ulimkosea sana huyo mwanamke.Ni mdada kipindi flani niko choka mbaya!nilikuwa namtokea ila kila nikimuapproach ananipiga kizinga mara sijui lunch mara sijanywa chai najikuta nampa afu mi napiga ndefu!siku hiyo akanihurumia akanipa mzigo nilimchapa nao na kumkunja kiplan hadi akachanganyikiwa!hapo sasa nikaona ndo muda muafaka wa kumtema!!kila nikimkataa ananiganda ikabidi nimchane kwamba mi mambo yangu magum sihitaji uhusiano sasa hivi takupoteza tu!hakujali akawa anatimba magetoni anapika afu na mzigo napiga usiku kucha.akazidi kukolea kila nikitaka kumuacha analia kinoma nikaona acha niende nae mdogomdogo tamuachia njiani wapiii.ramani zangu zilipofunguka siku hiyo kanivamia geto akanikuta nakula manzi ingine!alilia hadi mwanamke mwenzie akawa amenigeuka na yeye kwanini namtenda mwanamke mwenzie!nikawatimua wote huyu mwingine alikuwa na chupi nikafukuzia mbali wote nikalala.kumbe yule demu wangu alilala hadi asubuhi hapo nje.asubuhi nafungua mlango namkuta!nikafunga nikaondoka.daahh ujana ulikuwa na mambo sana.
Nyie wanawake hasa mliozaliwa kuanzia miaka ya 1990 ni wachache sana wenye akili timilifu.Sawa ahsante!!barikiwa
Najivunia kua wakoNakataa hii mada kata kata.
Mwanamke kukuomba Pesa au Kutokuomba Pesa Haiwez kutumika km kipimo cha upendo wake kwako.
Alafu, how do you feel unapomuona mwanamke wako kajupamba na akapambika,ananukia vzuri, uso unang'aa, mavazi yamemvaa vzuri ,kiasi kwamba mnapita mbele za watu unajisikia raha .... Unapewa sifa "Aisee unajua kutunza" ... Kwaiyo unataka sifa zisizokua zako?? .
Mimi nasema ivi MWANAMKE HATOKUOMBA PESA IKIWA MWANAMME ANAJUA MAJUKUMU YAKE NIYAPI KUMUELEKEA MWANAMKE WAKE,,kinyume nahapo mwanamke atakuomba Pesa ,nabado atakua na mapenzi ya dhati kwako.
Wanaume wengi tunajisahau ,nakutaka vitu vinyonge ,vilivyokufa , matokeo yake unapoombwa Pesa unahisi hakupendi, sasa basi ikiwa hupendi kutoa pesa ,MPE HUDUMA,MPE MATUMIZI YAKE .
Wanawake wengine wanaakil sana, anakuomba pesa,si kwasababh hakupendi bali kwa sababu anataka kuwafanya wanawake wenzake wamuonee wivu yakwamba kua naww hajakosea .
niseme ikiwa unauwezo wakutoa toaa, ukiwa maisha bado hayajakaa sawa toa ktk uwezo wako ,ukiwa maisha yaan hayaekeweki kabisaaaaaaaaaaaaaa Naiman hata yeye atachukia siku ukimpa hela. ila haingii akilin Uko vzuri kiasi chake alafu mwanamke wako unashindwa hata kumpa hela ya saloon japo apendeze mara moja moja.
Tofautisheni Mizinga naHuduma.
Mizinga wanapiga Mademu.....huduma anapewa Mwanamke .
Binafsi napenda kumuona mwanamke kapendeza, ananukia vzuri, nakatika hayo yote napenda kua sehemu yake .................... Sema bado nazichanga[emoji23]
Narejea ,Kutoa pesa,au kua bahili sio kipimo cha mapenzi TENAAAA , Pesa?? Nikiungo muhimu sana ktk mahusiano.
Mapadre hawajaoa ila watu huenda kuomba ushauri wa ndoa.Una maneno mazuri lakini hujaoa. Oa kwanza u-practice haya maneno yako.
Sasa hapa unazidisha mbwembwe na wewe. Wanawake siku hizi mnafanya kazi and you're highly paid. Pesa zenu mnapeleka wapi?Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!
Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.
Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna
Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..
Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Duuu ulikua katili sana....Ni mdada kipindi flani niko choka mbaya!nilikuwa namtokea ila kila nikimuapproach ananipiga kizinga mara sijui lunch mara sijanywa chai najikuta nampa afu mi napiga ndefu!siku hiyo akanihurumia akanipa mzigo nilimchapa nao na kumkunja kiplan hadi akachanganyikiwa!hapo sasa nikaona ndo muda muafaka wa kumtema!!kila nikimkataa ananiganda ikabidi nimchane kwamba mi mambo yangu magum sihitaji uhusiano sasa hivi takupoteza tu!hakujali akawa anatimba magetoni anapika afu na mzigo napiga usiku kucha.akazidi kukolea kila nikitaka kumuacha analia kinoma nikaona acha niende nae mdogomdogo tamuachia njiani wapiii.ramani zangu zilipofunguka siku hiyo kanivamia geto akanikuta nakula manzi ingine!alilia hadi mwanamke mwenzie akawa amenigeuka na yeye kwanini namtenda mwanamke mwenzie!nikawatimua wote huyu mwingine alikuwa na chupi nikafukuzia mbali wote nikalala.kumbe yule demu wangu alilala hadi asubuhi hapo nje.asubuhi nafungua mlango namkuta!nikafunga nikaondoka.daahh ujana ulikuwa na mambo sana.
Lakini kumbuka pesa haimfanyi mwanamke kumpenda mwanaume.Wao fikra zao kua uanamke ni kazi rahisi kumbee ni ngumu mnooo...
Mpaka yeye kakufata kawaacha wangapi ?!anajua hapo umefikaje?!!kwa nini asikupende na kukuthamini ya kweli..
Hatuombi pesa kua tunawachuna..hapana ni wajibu wako mwanaume utimize!
Ukatili wa kishamba kabisaDuuu ulikua katili sana....
Nimekuelewa Mkuu ila uoe ili uwe practical zaidi. Nina uhakika ukishaoa utaweka akiba ya maneno[emoji2]Mapadre hawajaoa ila watu huenda kuomba ushauri wa ndoa.
Nadhan pia mtoa mada hakulenga mambo ya ndoa,maana km nindoani Asingeandika haya.
Anyway kuoa nitaoa mkuu !! Unajua for a big ship.... Big voyage
nimesikitika duuuh hukufanya haki kabisaNi mdada kipindi flani niko choka mbaya!nilikuwa namtokea ila kila nikimuapproach ananipiga kizinga mara sijui lunch mara sijanywa chai najikuta nampa afu mi napiga ndefu!siku hiyo akanihurumia akanipa mzigo nilimchapa nao na kumkunja kiplan hadi akachanganyikiwa!hapo sasa nikaona ndo muda muafaka wa kumtema!!kila nikimkataa ananiganda ikabidi nimchane kwamba mi mambo yangu magum sihitaji uhusiano sasa hivi takupoteza tu!hakujali akawa anatimba magetoni anapika afu na mzigo napiga usiku kucha.akazidi kukolea kila nikitaka kumuacha analia kinoma nikaona acha niende nae mdogomdogo tamuachia njiani wapiii.ramani zangu zilipofunguka siku hiyo kanivamia geto akanikuta nakula manzi ingine!alilia hadi mwanamke mwenzie akawa amenigeuka na yeye kwanini namtenda mwanamke mwenzie!nikawatimua wote huyu mwingine alikuwa na chupi nikafukuzia mbali wote nikalala.kumbe yule demu wangu alilala hadi asubuhi hapo nje.asubuhi nafungua mlango namkuta!nikafunga nikaondoka.daahh ujana ulikuwa na mambo sana.
[emoji8] know that your presence in my life has turned it into a fairytale with a happy ever ending!!Najivunia kua wako
Hahahhahaha inaonekana huko ndoan nibalaa?? Daaaahhhhh ila namin ndoa niraha sana aisee...ndio iman yangu hiyo Mkuu.Nimekuelewa Mkuu ila uoe ili uwe practical zaidi. Nina uhakika ukishaoa utaweka akiba ya maneno[emoji2]
Cha kukuchekesha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]